We
wewe unafikiri nyavu haram inakatiwa lesen?sijui niseme mara ngapi unielewe walikuja hao jamaa walisema nyavu zipo sawa lakini wao wametumwa pesa kama huna wanachoma ndipo walipo zichoma nakuziteka engeine nakutokomea nazo mpaka sasa wanazo wanasema tukazikomboe kwa pesa1.Katiba ni sawa je KUIJENGEA NCHI UCHUMI KWANZA kisha katiba ije baadae?
2.UHURU mimi binafsi ninaona ninao NAFANYAKAZI BOLA KUBAGILIWA DINI RANGI WALA ITIKADI cha msingi simvunjii mtu heshima wala adabu.
3. YES wamelipwa kutokana na sheria ya kulipwa... kana wachache waliorukwa ni makosa ya watendajo wa chini JPM ameonekana akitatua hixo kero mra kwa mara.
4. JPM awarudosha kazini watu kibao ila kama kuna wanaodai taratibu zinafuatwa
5. Walichomewa NYAVU walichomewa kwa kuwa NYAVU ZAO ZILIKUWA ZIPO KINYUME NA SHERIA ZA UVUVI ... unatumia nyavu za NET ya mbu KWANI UMEENDA KUVUA MBU bahsrini au Ziwani? ... pia NTAVU SAHAHIHI ZO ASAIDIA KATIJA UVUVI ENDEKEVU....
... LISU zile hazikuwa hoja zilikuwa ni kugombanisha kabla ya kujua mpango wa kiongozi mwema. TUJIKITE KUJENGA NCHO YETU ndio hii hii hamna nyingine... TUMSAPPORT JPM SPIDI YA MAENDELEO ISONGE MBELE.