Kwa ufaulu huu Engineering atapata? Na je aombe kozi gani?

Aende Information System and Security huko kuna maisha kuliko uingia
 
Mkuu acha kutudhalilisha wahandisi. Huyo anatakiwa aende veta ndio level yake.

Halafu huyo amesoma combination gani?

Uhandisi lazima uwe na PCM.
Hilo neno lazima awe amesoma PCM liondoe.

Uhandisi unahitaji Advanced Mathematics (M) na Physics P
Hivyo PGM pia anayo nafasi kwenye aina nyingi ya uhandisi ni chache sana hawazisomi.

Kwa Gradi za mtoa mada ni ngumu kweli kwasababu Maths Hana principle pass
 
Mkuu kwani E si ndio Principal pass yenyewe au labda points zitamkwamisha kwenye hiyo E ya hesabu?
 
Hilo neno lazima awe amesoma PCM liondoe.

Uhandisi unahitaji Advanced Mathematics (M) na Physics P
Hivyo PGM pia anayo nafasi kwenye aina nyingi ya uhandisi ni chache sana hawazisomi.

Kwa Gradi za mtoa mada ni ngumu kweli kwasababu Maths Hana principle pass
PCM anasoma engineering yoyote. Hao PGM na PCB (biomedical engineering) ni exceptions chache kwenye kanuni.

Tusiposema hivi kuna watu watakuja na kozi wataiita 'historical engineering' ili na wao waitwe wahandisi.
 
Back
Top Bottom