Kwa ufaulu huu Engineering atapata? Na je aombe kozi gani?

Kwa ufaulu huu Engineering atapata? Na je aombe kozi gani?

Mkuu kwani E si ndio Principal pass yenyewe au labda points zitamkwamisha kwenye hiyo E ya hesabu?
Yaani mtu apate E au D au C halafu awe engineer? Huku ni kutuletea mzaha kwenye taaluma.

Kozi za udaktari, ufamasia, uhandisi nk ambazo zina madhara makubwa kunapokuwa na udhaifu inatakiwa tuwe strict kwenye admission.
 
wadau ushauri kwa mpwa wangu please

G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Anaweza kuanzia diploma akatumia cheti cha form 4 kisha akimaliza level 6 atachagua yeye afanye kazi kwanza au aombe mkopo aendelee na bachelor degree .
 
Hiyo ni div II ya 12. Alichobofoa ni kupata c ya geo. Ilitakiwa pure apige c au phys hapo angepata mechanical au industrial engineering. Enzi zetu mbona candidates kibao walichukuliwa kwa passmark kama hizo hapo coet na ardhi.
Mpo wapi kwa Sasa?
 
Aisee..!!
 
wadau ushauri kwa mpwa wangu please

G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Kupata au kukosa inategemea an ushindani uliopo. PGM anaweza kusoma engineering bila ahida...

Muhisika ni wewe so nakushauri kwanza acha kisongizia watu pili nenda kaombe kozi yeyote kwa chuo chochote maana una min requirements.

Tatu tafuta tcu guidebook ukisome.
 
wadau ushauri kwa mpwa wangu please

G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Math E kila la kheri ,Aombe private turudi physic D ,ushauri aachane na Engineering,..Kuna kozi nyingi nzuri anaweza somea Ila sio Engineering
 
wadau ushauri kwa mpwa wangu please

G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Mkuu usikatishwe tamaa, kijana hajafeli. Nenda DIT kama uko dar au vyuo vingine kaulize anaweza hata akaanza diploma kisha akapanda na akawa engineer bora sana.
 
Mkuu acha kutudhalilisha wahandisi. Huyo anatakiwa aende veta ndio level yake.

Halafu huyo amesoma combination gani?

Uhandisi lazima uwe na PCM.
Pia kusoma Engineering ni combination of different prior skills kwa hapa bongo.

PCB, PGM na PCM wote wanaweza kusoma Engineering courses tofauti.

PCB kwa UDSM kuna architecture engineering wanasoma miaka 5 wapo wote na PGM na PCM. Kuna Bio.... Eng pale MOI
 
wadau ushauri kwa mpwa wangu please

G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Mkuu kwa mjibu wa TCU moja ya sifa ya lazima kusoma degree ya kitu chochote ni lazima kwa ufaulu wa form six(Isipokua 2015na16) uwe na Walau D na walau point 4 kwenye masomo ma3.
Hii ni kwa vyuo vyote private na government.
Kwa hiyo degree haiwezekani.

Kwa Diploma ni karibu course zote anapata
 
Pia kusoma Engineering ni combination of different prior skills kwa hapa bongo.

PCB, PGM na PCM wote wanaweza kusoma Engineering courses tofauti.

PCB kwa UDSM kuna architecture engineering wanasoma miaka 5 wapo wote na PGM na PCM. Kuna Bio.... Eng pale MOI
MOI Kuna kozi gani?
 
Back
Top Bottom