SUKAH
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 1,753
- 1,968
TCU wanataka principal pass zenye jumla ya point 4 kutoka kwenye masomo mawili.Mkuu kwa mjibu wa TCU moja ya sifa ya lazima kusoma degree ya kitu chochote ni lazima kwa ufaulu wa form six(Isipokua 2015na16) uwe na Walau D na walau point 4 kwenye masomo ma3.
Hii ni kwa vyuo vyote private na government.
Kwa hiyo degree haiwezekani.
Kwa Diploma ni karibu course zote anapata
Yaani angalau awe na D D au C E.
So huyu mwenzetu anakidhi vigezo vya kujiunga na bachelor degree.
Akichagua kwa umakini anapata kozi ya engineering nzuri tu bila wasiwasi.
Namshauri aangalie Water resources and irrigation engineering na agricultural engineering pale SUA.
Kuna kozi nzuri japo sio za engineering moja kwa moja pale ARU anaweza kuomba. Geomatics, architecture,...