Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Yaani mtu apate E au D au C halafu awe engineer? Huku ni kutuletea mzaha kwenye taaluma.Mkuu kwani E si ndio Principal pass yenyewe au labda points zitamkwamisha kwenye hiyo E ya hesabu?
Anaweza kuanzia diploma akatumia cheti cha form 4 kisha akimaliza level 6 atachagua yeye afanye kazi kwanza au aombe mkopo aendelee na bachelor degree .wadau ushauri kwa mpwa wangu please
G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Aombe ,sifa anazo ila kwa vyuo vya sifa hawezi pata.Huko TEKU,Udom,DIT,NIT,etc atapata bila shida.This is living and other stories.wadau ushauri kwa mpwa wangu please
G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
SIFA ANAZO AOMBE TUU ILA AANGALIE NA CHUO ATAKACHO OMBA MAANA NI COMPETITION KUBWA. UDOM, DIT HATAACHWA.wadau ushauri kwa mpwa wangu please
G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Hata udsm kuna kozi kama industrial engineering na textile anapata,hizo hazinaga ushindani.SIFA ANAZO AOMBE TUU ILA AANGALIE NA CHUO ATAKACHO OMBA MAANA NI COMPETITION KUBWA. UDOM, DIT HATAACHWA.
NIMEKUWEKEA TCU GUIDEBOOK 2022/2023 HAPA IPITIEView attachment 2292215
Mpo wapi kwa Sasa?Hiyo ni div II ya 12. Alichobofoa ni kupata c ya geo. Ilitakiwa pure apige c au phys hapo angepata mechanical au industrial engineering. Enzi zetu mbona candidates kibao walichukuliwa kwa passmark kama hizo hapo coet na ardhi.
Sio kweli.Uhandisi lazima uwe na PCM.
Aisee..!!Hiyo ni div II ya 12. Alichobofoa ni kupata c ya geo. Ilitakiwa pure apige c au phys hapo angepata mechanical au industrial engineering. Enzi zetu mbona candidates kibao walichukuliwa kwa passmark kama hizo hapo coet na ardhi.
Kupata au kukosa inategemea an ushindani uliopo. PGM anaweza kusoma engineering bila ahida...wadau ushauri kwa mpwa wangu please
G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
PCB HASOMI BIOMEDICAL ENGINEERING. Only PCM, tena kwa Muhas uwe na One moja kalii.Babu mwerevu huu werevu utakuwa hujaupata, PCB anaweza kusoma Biomedical Engineering
Ili iweje?!Mpo wapi kwa Sasa?
Math E kila la kheri ,Aombe private turudi physic D ,ushauri aachane na Engineering,..Kuna kozi nyingi nzuri anaweza somea Ila sio Engineeringwadau ushauri kwa mpwa wangu please
G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Lini wameanza kutoa Biomedical EngineeringMuhas
2019Lini wameanza kutoa Biomedical Engineering
Mkuu usikatishwe tamaa, kijana hajafeli. Nenda DIT kama uko dar au vyuo vingine kaulize anaweza hata akaanza diploma kisha akapanda na akawa engineer bora sana.wadau ushauri kwa mpwa wangu please
G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
Pia kusoma Engineering ni combination of different prior skills kwa hapa bongo.Mkuu acha kutudhalilisha wahandisi. Huyo anatakiwa aende veta ndio level yake.
Halafu huyo amesoma combination gani?
Uhandisi lazima uwe na PCM.
Mkuu kwa mjibu wa TCU moja ya sifa ya lazima kusoma degree ya kitu chochote ni lazima kwa ufaulu wa form six(Isipokua 2015na16) uwe na Walau D na walau point 4 kwenye masomo ma3.wadau ushauri kwa mpwa wangu please
G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
MOI Kuna kozi gani?Pia kusoma Engineering ni combination of different prior skills kwa hapa bongo.
PCB, PGM na PCM wote wanaweza kusoma Engineering courses tofauti.
PCB kwa UDSM kuna architecture engineering wanasoma miaka 5 wapo wote na PGM na PCM. Kuna Bio.... Eng pale MOI