Kwa ugeni huu wa siku mbili kuhusu mkutano wa nishati, serikali ingetoa mapumziko

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
 
Wanaofanya mitikasi yao town watakiona cha mtema kuni dadeki.
Foleni na bugdha za askari.

Vibao vya njia hii ikefungwa vitakua kihao, wazee wa goms kina Poor Brain watafute njia za kupita kwend town.
Mi kwa sasa mambo yangu nafanya kwa online hvo haisumbui kabisa an mkuu
 
Ukute mji unatakiwa kuwa hivyo hata bila mikutano ya kimataifa ni vile tu wapiga kura wanawaendesha wanasiasa
 
Kwamba mji uwe na hivyo vizuizi alivyosema Muliro?
 
Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
sio siku 2 tu ni siku 5 mji utakuwa bize sana
 
Hatimaye wameona waseme
IMG-20250126-WA0091.jpg
 
Back
Top Bottom