Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mi kwa sasa mambo yangu nafanya kwa online hvo haisumbui kabisa an mkuuWanaofanya mitikasi yao town watakiona cha mtema kuni dadeki.
Foleni na bugdha za askari.
Vibao vya njia hii ikefungwa vitakua kihao, wazee wa goms kina Poor Brain watafute njia za kupita kwend town.
Vizuri kabisa kijana. Ndio maana 24/7 upo jf kumbe unakula kiyoyozi tu dogo.Mi kwa sasa mambo yangu nafanya kwa online hvo haisumbui kabisa an mkuu
Kwamba mji uwe na hivyo vizuizi alivyosema Muliro?Ukute mji unatakiwa kuwa hivyo hata bila mikutano ya kimataifa ni vile tu wapiga kura wanawaendesha wanasiasa
sio siku 2 tu ni siku 5 mji utakuwa bize sanaNamsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
No!Kwamba mji uwe na hivyo vizuizi alivyosema Muliro?
Muliro anakwambia kw muda wote ambao wageni watakuwepo... 😁sio siku 2 tu ni siku 5 mji utakuwa bize sana