Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Sijawahi kukubali uwepo wa Manara Yanga ninacho washangaa mashabiki wa Simba wanakasirishwa na mambo anayoyafanya Manara, wanasahau hata alivyokuwa kwao Simba alikuwa anaifanyia Yanga hivi hivi tena zaidi.

Wengine humu mlikuwa mnamfungulia threads za kumpongeza kwa mambo yake ya kipuuzi leo mnamuona anakosea, wakati anachofanya sasa ni kilekile alichokuwa anakifanya akiwa Simba.

Manara ni yule yule sioni utofauti wa kauli zake alivyokuwa Simba na Sasa Yanga,kipindi yupo Simba alitukana viongozi wote wa Yanga hasa Mwakalebela na tumbo lake,Manji naye alitukanwa weee akaitwa majina ya ajabu ajabu, tena msimu ule Simba ilikuwa vibaya, Yanga walikuwa wazuri.
 
Manara huyu aliyeko Yanga ni yuleyule aliyekuwa Simba. Wakati yupo Simba alikuwa anaongea hivi hivi, ila mlikuwa alichukuliwa poa na wana Simba kwa sababu haikuwa inaumiza, wakati Yanga wanalialia. Sasa hapa mbwa uliyemlea anakung'ata mwenyewe.
What a Nonsensical Comment from a Yanga SC Foolish Fan...!!!!
 
Nani aliyekuambia kuwa Yanga SC imeshinda Kihalali Mechi zake zote za NBC Premier League? Mkiambiwa ni Wendawazimu msiwe mnakataa na hata Kukasirika sawa?
 
Nani aliyekuambia kuwa Yanga SC imeshinda Kihalali Mechi zake zote za NBC Premier League? Mkiambiwa ni Wendawazimu msiwe mnakataa na hata Kukasirika sawa?
Kama haijashinda kihalali ruksa kwenu kuongea, na manara ruksa kwake kuongea. Kwa nn mumzuie.

Anajua michezo yenu yote, hakuna cha kumtishia.
 
Achukue ushauri huu halafu akalale.
 
Mbona hujaandika kuhusu mashabiki wa Yanga waliopigwa jana uwanja wa Mkapa ?
Nisiwe Muongo na Mungu Shahidi katika hili nilikuwa sijapata Taarifa yake ndiyo naliona Mitandaoni hivi sasa.

Nalikemea, Nalipinga, Ni Ushamba, Upumbavu na kama CCTV Camera za Uwanjani zimewanasa naomba wakamatwe na Washtakiwe na nauomba Uongozi wa Simba SC ukemee vikali na iwaombe Radhi hao Mashabiki Watani zetu wa Yanga SC na Wadau wote wa Michezo nchini.

Nimesikitika sana na Kuhuzunika nalo.
 
Inawezekana kauli zake ndo zolisababisha mashabiki wa Simba wawapige mashabiki wa Yanga Jana?
Kwamba hawa jamaa kwenye nchi hii kwao ruksa kujichukulia sheria mkononi hata kama wamechokozwa na manara. Si kuna mahakama?

Hili la kupiga mashabiki wa Yanga ni suicidal event. Mashabiki wa yanga ndo vichaa kabisa kwenge counter.

Serikali iingilie kati. Nchi yetu isije ikaingia huko wanakotaka wahuni wachache akna ahmed.
 
Na msingepata hizo tatu ungeandika lugha zote kama yule dada aliyetoka kwa malkia
 
Manara Anasumbuliwa na Chuki ,Wivu
Yaani Anaumia sana kuondoka Simba
Na Anajiona yeye Ndio kila kitu Simba
yaani Ushindi wa simba Unamuuma sana
Kisa manara ndo mpige washabiki wa Yanga? Hivi nchi hii kuna mashabiki wapole na wakorofi kama Yanga? Mnataka kulipeleka taifa letu wapi?
Au ndo yale ya Algeria na Egypt mnataka kuyaleta kwenye soka letu?
 
Simba iko group stage utopolo ishatolewa hatua ya awali halafu unajivunia usajili wa Manara, wewe kweli ni kilaza.
Hivi Watu Werevu kama Wewe huwa mnapata wapi Muda wa Kuwajibu Wapumbavu kama huyo / hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…