Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
MANARA ASIPODHIBITIWA KWA KAULI ZAKE ATAKUJA LETA TAFRANI KWA MASHABIKI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi na nitashangaa kama wakimuacha na hata Serikali ( kupitia Wizara ) wasipomchukulia hatua Kali.Makali ya TFF yapo wapi? Inabidi manara afungiwe apate akili
Acha Kuhangaika na huyo mwenye Funza na Kinyesi cha Uharo Ubongoni mwake Ndugu.Neno gaidi limeandikwa wapi mkuu? Au mimi sijaona!
What a Nonsensical Comment from a Yanga SC Foolish Fan...!!!!Manara huyu aliyeko Yanga ni yuleyule aliyekuwa Simba. Wakati yupo Simba alikuwa anaongea hivi hivi, ila mlikuwa alichukuliwa poa na wana Simba kwa sababu haikuwa inaumiza, wakati Yanga wanalialia. Sasa hapa mbwa uliyemlea anakung'ata mwenyewe.
Another Foolish Yanga SC Fan......!!!!!!!!!!Manara kosa lake kusema ukweli? Manara anawajua nje ndani. Kwa kikosi gani cha kuifunga Asec? Subirini next matches muone kama mtafurukuta.
Foolish ndo ww sasa. Unalialia kama toto jinga.Another Foolish Yanga SC Fan......!!!!!!!!!!
Nani aliyekuambia kuwa Yanga SC imeshinda Kihalali Mechi zake zote za NBC Premier League? Mkiambiwa ni Wendawazimu msiwe mnakataa na hata Kukasirika sawa?Haswaa. Hawa jamaa hawajawahi kushinda kihalali. Mfano rahisi ni hizi mechi cha NBC. Wamezua mjadala mkubwa sana. Hata huko CAF lazima wamefanya umafia maana hata mleta mada anakiri kufanyika kwa umafia.
So tafadharini makolokocho, tylieni sindano ziwaingie. Joka mlilolifuga sasa latafuna watoto wenu.
Mlidhani mkimgukuza ataenda nyumbani kwake huku akiwapigia magoti.
Kwa usajili ambao Yanga walicheza kama Messi ni huu wa manara. Wacha kazi iendelee. 😁😁
Na bahati mbaya zaidi IGP Sirro ni Yanga SC lia lia kabisa.Polisi wanatakiwa kufanya kazi yao walivyo wa ajabu wataacha lipite hivihivi
Kama haijashinda kihalali ruksa kwenu kuongea, na manara ruksa kwake kuongea. Kwa nn mumzuie.Nani aliyekuambia kuwa Yanga SC imeshinda Kihalali Mechi zake zote za NBC Premier League? Mkiambiwa ni Wendawazimu msiwe mnakataa na hata Kukasirika sawa?
Achukue ushauri huu halafu akalale.Unaweza ukawa na mantiki katika ujumbe wako uliowasilisha ila umevuruga kila Kitu pale ulipomuingiza Mh Raisi mstaafu Kikwete kwenye ujinga wa Manara, umeonyesha hauko matured enough tena ukaenda mbele kuingiza personal feelings za kusema Raisi Kikwete ana influence kwenye Serikali hii, so hata kama issues zako ulizozielezea hapa zina logic kwa makosa uliyofanya ya kuingiza siasa watu tunakuona lengo lako kuu si Manara ila upande mwingine!
Ushauri
Next time ukiwa na mashauri kama haya epuka kuwaongelea watu binafsi hasa hao wenye political influence (hata kama unahisi wanahusika au hawahusiki) just mu attack yule mlengwa unless una ujumbe kwa hao watu unataka uwafikie indirect. Hii itaondoa mgawanyiko katika watu wanao sapoti hoja yako.
Inawezekana kauli zake ndo zolisababisha mashabiki wa Simba wawapige mashabiki wa Yanga Jana?MANARA ASIPODHIBITIWA KWA KAULI ZAKE ATAKUJA LETA TAFRANI KWA MASHABIKI
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Nisiwe Muongo na Mungu Shahidi katika hili nilikuwa sijapata Taarifa yake ndiyo naliona Mitandaoni hivi sasa.Mbona hujaandika kuhusu mashabiki wa Yanga waliopigwa jana uwanja wa Mkapa ?
Kwamba hawa jamaa kwenye nchi hii kwao ruksa kujichukulia sheria mkononi hata kama wamechokozwa na manara. Si kuna mahakama?Inawezekana kauli zake ndo zolisababisha mashabiki wa Simba wawapige mashabiki wa Yanga Jana?
Kisa manara ndo mpige washabiki wa Yanga? Hivi nchi hii kuna mashabiki wapole na wakorofi kama Yanga? Mnataka kulipeleka taifa letu wapi?Manara Anasumbuliwa na Chuki ,Wivu
Yaani Anaumia sana kuondoka Simba
Na Anajiona yeye Ndio kila kitu Simba
yaani Ushindi wa simba Unamuuma sana
Hivi Watu Werevu kama Wewe huwa mnapata wapi Muda wa Kuwajibu Wapumbavu kama huyo / hao?Simba iko group stage utopolo ishatolewa hatua ya awali halafu unajivunia usajili wa Manara, wewe kweli ni kilaza.