KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
🤣🤣🤣🤣🤣Poor and Foolish You.....!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Poor and Foolish You.....!!!!!!!
Sawa rizwan ila mwambie haji siku akiingia kwenye 18 watu wamepanga kumla kiboga huku wakimrekodi over,Unaweza ukawa na mantiki katika ujumbe wako uliowasilisha ila umevuruga kila Kitu pale ulipomuingiza Mh Raisi mstaafu Kikwete kwenye ujinga wa Manara, umeonyesha hauko matured enough tena ukaenda mbele kuingiza personal feelings za kusema Rais Kikwete ana influence kwenye Serikali hii, so hata kama issues zako ulizozielezea hapa zina logic kwa makosa uliyofanya ya kuingiza siasa watu tunakuona lengo lako kuu si Manara ila upande mwingine!
Ushauri
Next time ukiwa na mashauri kama haya epuka kuwaongelea watu binafsi hasa hao wenye political influence (hata kama unahisi wanahusika au hawahusiki) just mu attack yule mlengwa unless una ujumbe kwa hao watu unataka uwafikie indirect. Hii itaondoa mgawanyiko katika watu wanao sapoti hoja yako.
Du!Sawa rizwan ila mwambie haji siku akiingia kwenye 18 watu wamepanga kumla kiboga huku wakimrekodi over,
Ahahahahaaa kwahiyo kwakua Mazembe, Esperance, Mamelod , Zamalek , PYRAMIDS, Simba hawajachukua hilo kombe kwenye michiano ya hivi karibuni tutakuwa sawa tukiwalinganisha na hii Yanga ambayo nayo pia haijachukua?bila kuchuka kombe wote ni washiliki tu kwenye football achievement inapimwa kwa kombe no blah blah