Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Unaweza ukawa na mantiki katika ujumbe wako uliowasilisha ila umevuruga kila Kitu pale ulipomuingiza Mh Raisi mstaafu Kikwete kwenye ujinga wa Manara, umeonyesha hauko matured enough tena ukaenda mbele kuingiza personal feelings za kusema Rais Kikwete ana influence kwenye Serikali hii, so hata kama issues zako ulizozielezea hapa zina logic kwa makosa uliyofanya ya kuingiza siasa watu tunakuona lengo lako kuu si Manara ila upande mwingine!

Ushauri
Next time ukiwa na mashauri kama haya epuka kuwaongelea watu binafsi hasa hao wenye political influence (hata kama unahisi wanahusika au hawahusiki) just mu attack yule mlengwa unless una ujumbe kwa hao watu unataka uwafikie indirect. Hii itaondoa mgawanyiko katika watu wanao sapoti hoja yako.
Sawa rizwan ila mwambie haji siku akiingia kwenye 18 watu wamepanga kumla kiboga huku wakimrekodi over,
 
bila kuchuka kombe wote ni washiliki tu kwenye football achievement inapimwa kwa kombe no blah blah
Ahahahahaaa kwahiyo kwakua Mazembe, Esperance, Mamelod , Zamalek , PYRAMIDS, Simba hawajachukua hilo kombe kwenye michiano ya hivi karibuni tutakuwa sawa tukiwalinganisha na hii Yanga ambayo nayo pia haijachukua?

Kumbe ni la team moja, lakini swala la viwngo linapimwa na hatua ambazo team inafikia, Yanga ni underdogs.
 
Kwani ili biashara ya viungo iliishia wapi jamani!
 
Anageuza utani wa Jadi kuwa UADUI...
Niliona hili akiwa SIMBA....

Bt inatosha kujua anavyoumia na SIMBA ....yupo kufanya lolote ili ku +provoke ...
Ukimya wa MO na Barbra unamtesa....Anafanya mambo ili fans na media zimjadili. Si kwamba hajui anachokifanya. Hili ni kuvuka mipaka ya utani wa jadi.

But finally inaipa Simba hasira ya kuwa timu Kubwa...
Hakuna LEGACY atakayoicha YANGA... na huenda taratibu anaisogelea njia ya kutoka ( exit ).
 
Back
Top Bottom