Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Sifa yangu Kubwa ni Kujiamini na kuwa na uhakika juu ya nilisemalo ndiyo maana hata Signature yangu hapa JamiiForums inasema I'm Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person sawa?

Tena hayo niliyoyaelezea hapo ni machache ya Kumhusu huyo Mstaafu wenu na Double Standards zake katika Kuisaidia Yanga SC Kimichezo katika Awamu yake huku Shughuli zote akiziratibu Mwanae Kipenzi Ridhiwani ( sasa Naibu Waziri ) ukitaka niyaweke sema.

Mnafiki na Mpuuzi mkubwa Wewe.
 
Kichwa cha habari Manara,habari Kikwete kweli umevurugwa
 
MANARA ASIPODHIBITIWA KWA KAULI ZAKE ATAKUJA LETA TAFRANI KWA MASHABIKI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Amesahau aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba SC Marehemu Juma Salum kilimtokea nini njiani akienda Mkoani Dodoma baada ya Kuwaudhi, Kuwakera kulikopitiliza na Kuwasaliti wana Simba SC.

Awe makini kuliko vile anavyotegenea.
 
Inawezekana kauli zake ndo zolisababisha mashabiki wa Simba wawapige mashabiki wa Yanga Jana?
Ukiwa na Akili Timamu huwezi Kuuliza a very obvious Question kama hili. I'm disappointed....!!!!
 
Ahsante sana, umemaliza!! Km ana busara arafuta aanze teba upya!
 
Huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi wangu wapishe Intelligent People waujadili na Wewe endelea Kupambana na Upumbavu wako.
Duu! Kwahiyo mada imeletwa na mwenye iq kubwa?!!!!!

Dunia simama nijishukie zangu!
 
Post ingekuwa na akili ungeweka hiyo post aliyoirusha mzungu qa Yanga
 
Manara kosa lake kusema ukweli? Manara anawajua nje ndani. Kwa kikosi gani cha kuifunga Asec? Subirini next matches muone kama mtafurukuta.
Kwahiyo serikali yako ina fanya hayo!!.. wakati wenzenu wanatangazo utalii na vipaji vya vijana nyie mnajaribu kuua uchumi wa Nchi Kwa shutuma hewa!!..Hivi akifunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi Mtamtetea namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…