Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Unaweza ukawa na mantiki katika ujumbe wako uliowasilisha ila umevuruga kila Kitu pale ulipomuingiza Mh Raisi mstaafu Kikwete kwenye ujinga wa Manara, umeonyesha hauko matured enough tena ukaenda mbele kuingiza personal feelings za kusema Raisi Kikwete ana influence kwenye Serikali hii, so hata kama issues zako ulizozielezea hapa zina logic kwa makosa uliyofanya ya kuingiza siasa watu tunakuona lengo lako kuu si Manara ila upande mwingine!
Ushauri
Next time ukiwa na mashauri kama haya epuka kuwaongelea watu binafsi hasa hao wenye political influence (hata kama unahisi wanahusika au hawahusiki) just mu attack yule mlengwa unless una ujumbe kwa hao watu unataka uwafikie indirect. Hii itaondoa mgawanyiko katika watu wanao sapoti hoja yako.
Sifa yangu Kubwa ni Kujiamini na kuwa na uhakika juu ya nilisemalo ndiyo maana hata Signature yangu hapa JamiiForums inasema I'm Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person sawa?

Tena hayo niliyoyaelezea hapo ni machache ya Kumhusu huyo Mstaafu wenu na Double Standards zake katika Kuisaidia Yanga SC Kimichezo katika Awamu yake huku Shughuli zote akiziratibu Mwanae Kipenzi Ridhiwani ( sasa Naibu Waziri ) ukitaka niyaweke sema.

Mnafiki na Mpuuzi mkubwa Wewe.
 
Kichwa cha habari Manara,habari Kikwete kweli umevurugwa
 
MANARA ASIPODHIBITIWA KWA KAULI ZAKE ATAKUJA LETA TAFRANI KWA MASHABIKI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Amesahau aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba SC Marehemu Juma Salum kilimtokea nini njiani akienda Mkoani Dodoma baada ya Kuwaudhi, Kuwakera kulikopitiliza na Kuwasaliti wana Simba SC.

Awe makini kuliko vile anavyotegenea.
 
Inawezekana kauli zake ndo zolisababisha mashabiki wa Simba wawapige mashabiki wa Yanga Jana?
Ukiwa na Akili Timamu huwezi Kuuliza a very obvious Question kama hili. I'm disappointed....!!!!
 
Unaweza ukawa na mantiki katika ujumbe wako uliowasilisha ila umevuruga kila Kitu pale ulipomuingiza Mh Raisi mstaafu Kikwete kwenye ujinga wa Manara, umeonyesha hauko matured enough tena ukaenda mbele kuingiza personal feelings za kusema Raisi Kikwete ana influence kwenye Serikali hii, so hata kama issues zako ulizozielezea hapa zina logic kwa makosa uliyofanya ya kuingiza siasa watu tunakuona lengo lako kuu si Manara ila upande mwingine!
Ushauri
Next time ukiwa na mashauri kama haya epuka kuwaongelea watu binafsi hasa hao wenye political influence (hata kama unahisi wanahusika au hawahusiki) just mu attack yule mlengwa unless una ujumbe kwa hao watu unataka uwafikie indirect. Hii itaondoa mgawanyiko katika watu wanao sapoti hoja yako.
Ahsante sana, umemaliza!! Km ana busara arafuta aanze teba upya!
 
Huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi wangu wapishe Intelligent People waujadili na Wewe endelea Kupambana na Upumbavu wako.
Duu! Kwahiyo mada imeletwa na mwenye iq kubwa?!!!!!

Dunia simama nijishukie zangu!
 
Kitendo cha Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kuandika kama Kuwatahadharisha Wageni wa Simba SC Klabu ya Asec Mimosa kuwa Wachukue Tahadhari zote za Hujuma za Dawa, Sumu au hata Kuuliwa Mtu haziichafui tu Simba SC bali hata Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara husika, TFF na Wadau wote wa Soka wamechafuliwa pia.

Na kuonyesha kuwa hata Yeye ameona alichokiandika ni cha Kipumbavu huko Instagram Kwake upesi sana baada ya Matokeo ya Ushindi ya Simba SC dhidi ya Asec Mimosa FC akawahi na kufuta akidhani Watumiaji Mitandao Wote ni Wapumbavu na Washamba kama walivyo kuwa hawana wakati kumbe tayari Watu wanazo na sasa Wanazishea tu.

Najua wana Yanga SC wasiojielewa ( Wapumbavu ) watamtetea ila wale wana Yanga SC makini na Werevu kamwe hawatakubaliana nalo na ndiyo watazidi Kumdharau zaidi.

Ni marumaini yangu kuwa Serikali ya Tanzania ( hasa Wizara husika ) pamoja na TFF watakaa chini ili Kumjadili na Kumchukulia hatua Kali mara moja kwani kwa alichokiandika kina Athari Mbaya sana katika Soka la Tanzania ambalo bado tunahangaika nalo Kulikuza na Kuliendeleza.

Najua wapo Majuha ( Fools ) kadhaa watamtetea kwa kusema kuwa ulikuwa ni Utani wa Simna SC na Yanga SC. Hivi kama kweli ungekuwa ni Utani huo Haji Manara angewahi Kuifuta hiyo post yake ya Kikatili huko Instagram?

Je, Haji Manara anajua athari ya ile post yake Instagram ambayo hata Klabu ya Asec Mimosa FC nao waliiona na Kumjibu tena kwa kumshukuru? Hivi Simba SC inayochukiwa na Haji Manara siyo ya Tanzania aliko Haji Manara? Simba SC ikifanikiwa Kimataifa siyo na hata Haji Manara Mwenyewe, Watanzania wote na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan nao Watafurahia na Kujivumia? Haji Manara anataka kuwapa Ujumbe gani Klabu zingine kama Gendamarie na Berkane watakaokuja Dar es Salaam Tanzania kucheza na Simba SC katika Michuano hii ya Shirikisho?

Najua Haji Manara anapata Kiburi cha ukaribu wa Baba yake Mzazi na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye katika Serikali ya sasa ana influence kubwa ya Kiushauri hivyo anajiona kuwa ni Untouchable na hakuna wa kumfanya lolote kwani atalindwa vyema.

Nanyi GSM ambao mpo nyuma ya huu Upumbavu wote wa Haji Manara na mnaufurahia kwakuwa Kibiashara mnaona anapambana na Adui yenu Kibiashara Mo Dewji mkidhani kuwa atamshusha wakati kumbe ndiyo Kwanza mnajiharibia na Mabalaa makubwa yatawapata na hantokuja kuamini na huyo Kikwete wenu mwenye shares nyingi tu hapo GSM.

Kama kweli Haji Manara ni Mcha Mungu kama asemavyo namuomba awaombe Radhi wana Simba SC wote, Serikali ( Wizara ), wana Yanga SC na Wadau wote wa Soka Tanzania kwani alichokifanya ni Utani wa Hatari uliopitiliza katika Soka na hauvumiliki kamwe.

Na nyie Uongozi wa Yanga SC endeleeni tu Kumchekea Haji Manara na Kufurahia Upumbavu wake anaoufanya kwa Simba SC ila nawahakikishia kuwa ipo Siku isiyo na Jina Haji Manara huyu huyu atakuja Kuwagharimu na Kuwaponza na hamtoamini.

Baba Mzazi wa Haji Manara Mzee Sunday Manara wana Simba SC tunakupenda, tunakuheshimu na hujawahi kuwa na baya na Simba SC ila kwa Hasira za wana Simba SC ambao nimewasikia tafadhali mkanye upesi Mwanao kabla HATARI MOJA KUBWA haijamuangukia na ukawa katika MAJONZI MAISHA YOTE ya Uzeeni.

Ni nani ambaye hajui kuwa Mpira wa Afrika unatawaliwa na UMAFIA ( Hujuma + Fitina ) kwa sasa? Nani ambaye hajui kuwa Al Ahly FC ( Mabingwa na Matajiri ) ndiyo Mama wa Fitina zote za Mpira ( Soka ) hizi hizi anazozisema Haji Manara wakifuatiwa na TP Englebert Mazembe na Kaizer Chiefs FC ila je, ni lini Haji Manara aliwahi kuwasikia Maafisa Habari wa Zamalek FC ( Wapinzani wakubwa wa Al Ahly ), DC Motema Pembe ( Wapinzani wakubwa wa TP Englebert Mazembe ) na Orlando Pirates FC ( Wapinzani wakubwa wa Kaizer Chiefs FC ) wakiwaambia Wageni Mbinu za Nje ya Uwanja za Wapinzani wao?

Simba SC na Yanga SC tutaniane kwa Uswahili wetu na Vituko vyetu tu tulivyovizoea ila tusivuke Mipaka yetu hasa inapokuja Michuano ya Kimataifa ambayo huwa ina Faida si tu kwa Klabu bali hsta Klabu zingine Kucheza Michuano ya Kimataifa kwa Kubebwa na Mafanikio ya Klabu Moja iliyofanya vyema ama Champions League au Confederation Cup.

Alichokifanya ( tena kwa Kuandika ) katika Instagram page yake Haji Manara ( Msemaji wa Yanga SC ) ni Suicidal in Sports Development hivyo nitasikitika kwa kuanzia tu kama Klabu yake ya Yanga haitomuonya na Kumchukulia hatua kama kweli wako that Professional, Ethically and Committed in Sports nchini.

Na Aibu kubwa kwa Haji Manara inaanzia katika Ushindi wa Kimchezo na Kiufundi ulioupata Simba SC dhidi ya Asec Mimosa FC. Na Kocha wa Asec Mimosa katika Post March Interview amekiri kuwa Wamefungwa kutokana na Makosa yao wenyewe huku Afisa Mwandamizi wa Klabu ya Asec Mimosa amesema kuwa tokea wafike Dar es Salaam Tanzania hadi muda wa Mechi hawajakumbana na Hujuma yoyote ile je, Haji Manara hapa atauficha wapi Uso wake kwa Aibu kama hii?

Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge huwa unapenda mno kuja na Habari mbaya tu za Simba SC na za Kuichokonoa kila uwapo katika Kipindi hivyo nasubiria kuona muda wowote nawe pia ukilizungumzia hili na uache Wadau wa Michezo wateme Nyongo zao kwa huyo Mpumbavu Haji Manara ili abadilike kama kweli Wewe ni Mweledi na hauko biased katika Uwasilishaji wako wa Masuala mazima ya Michezo nchini.

Ushahidi wa alichokiandika Haji Manara katika Instagram Account yake uko katika Uzi wa JamiiForums Member aitwae Numero Uno Uzi wenye Kichwa cha Habari kisemacho SHOBO ZA NINI? Japo kule katika Instagram yake Haji Manara ameshaifuta
.

Haji Manara ana mwisho mbaya sana!!!!
Post ingekuwa na akili ungeweka hiyo post aliyoirusha mzungu qa Yanga
 
Manara kosa lake kusema ukweli? Manara anawajua nje ndani. Kwa kikosi gani cha kuifunga Asec? Subirini next matches muone kama mtafurukuta.
Kwahiyo serikali yako ina fanya hayo!!.. wakati wenzenu wanatangazo utalii na vipaji vya vijana nyie mnajaribu kuua uchumi wa Nchi Kwa shutuma hewa!!..Hivi akifunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi Mtamtetea namna hii?
 
Back
Top Bottom