Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Wewe Shabani na alokutuma Tulieni dawa iwaingie na bado mpka hindi yenu ya billion 85 ishidwe kula tambuu kwa furaha
 
Kwahiyo serikali yako ina fanya hayo!!.. wakati wenzenu wanatangazo utalii na vipaji vya vijana nyie mnajaribu kuua uchumi wa Nchi Kwa shutuma hewa!!..Hivi akifunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi Mtamtetea namna hii?
Ubarikiwe mno na Asante kwa Kukuelimisha huyo Mpumbavu na ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema ( ipo YouTube ) kuwa Wana Yanga SC ni Nyani, Mbwa na Sokwe.

Cc: Ahmad Abdurahman
 
Kwahiyo serikali yako ina fanya hayo!!.. wakati wenzenu wanatangazo utalii na vipaji vya vijana nyie mnajaribu kuua uchumi wa Nchi Kwa shutuma hewa!!..Hivi akifunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi Mtamtetea namna hii?
Ujinga wenu wa uhujumu uchumi mwisho ilkua 17/3. Stupid kabisa.
 
Tatizo sio manara tatizo ni Uzamani wa manara

Ni ukweli usiopingika soka letu limepitia maajabu, miujiza na mauza uza kibao kwa vilabu vyetu pendwa

Lakini hii ndio zana harisi ya mabadiliko
Yaani kutolewa kwake Simba ilikuwa ni mojawapo ya mabadiliko

Manara hayo yalifanyika kabla ya mabadiliko washauli utopolo wabadilike
 
Unaweza ukawa na mantiki katika ujumbe wako uliowasilisha ila umevuruga kila Kitu pale ulipomuingiza Mh Raisi mstaafu Kikwete kwenye ujinga wa Manara, umeonyesha hauko matured enough tena ukaenda mbele kuingiza personal feelings za kusema Rais Kikwete ana influence kwenye Serikali hii, so hata kama issues zako ulizozielezea hapa zina logic kwa makosa uliyofanya ya kuingiza siasa watu tunakuona lengo lako kuu si Manara ila upande mwingine!

Ushauri
Next time ukiwa na mashauri kama haya epuka kuwaongelea watu binafsi hasa hao wenye political influence (hata kama unahisi wanahusika au hawahusiki) just mu attack yule mlengwa unless una ujumbe kwa hao watu unataka uwafikie indirect. Hii itaondoa mgawanyiko katika watu wanao sapoti hoja yako.
jamaa ni mpuuzi tuu......HAKUWA anamlenga manara.....kuna ujumbe alitaka kuufikisha kwenye jamii....so ametumia kivuli cha manara......ni sawa na mpuuzi mmoja anapomzungumzia mpuuzi mwingine....
 
Haswaa. Hawa jamaa hawajawahi kushinda kihalali. Mfano rahisi ni hizi mechi cha NBC. Wamezua mjadala mkubwa sana. Hata huko CAF lazima wamefanya umafia maana hata mleta mada anakiri kufanyika kwa umafia.

So tafadharini makolokocho, tylieni sindano ziwaingie. Joka mlilolifuga sasa latafuna watoto wenu.

Mlidhani mkimgukuza ataenda nyumbani kwake huku akiwapigia magoti.

Kwa usajili ambao Yanga walicheza kama Messi ni huu wa manara. Wacha kazi iendelee. 😁😁
Miezi 6 tu makolo wanakereka kweli kweli
 
Simba na Yanga Ni Watani Wa Jadi lakini Nimeshagundua Huyu Haji anageuza Utani au ushindani Kuufanya Kuwa UADUI...ni mtu wa ajabu sana...
 
Unaweza ukawa na mantiki katika ujumbe wako uliowasilisha ila umevuruga kila Kitu pale ulipomuingiza Mh Raisi mstaafu Kikwete kwenye ujinga wa Manara, umeonyesha hauko matured enough tena ukaenda mbele kuingiza personal feelings za kusema Rais Kikwete ana influence kwenye Serikali hii, so hata kama issues zako ulizozielezea hapa zina logic kwa makosa uliyofanya ya kuingiza siasa watu tunakuona lengo lako kuu si Manara ila upande mwingine!

Ushauri
Next time ukiwa na mashauri kama haya epuka kuwaongelea watu binafsi hasa hao wenye political influence (hata kama unahisi wanahusika au hawahusiki) just mu attack yule mlengwa unless una ujumbe kwa hao watu unataka uwafikie indirect. Hii itaondoa mgawanyiko katika watu wanao sapoti hoja yako.

Unatombwa nn,peleka comment zako za kijinga fb uko
 
Haswaa. Hawa jamaa hawajawahi kushinda kihalali. Mfano rahisi ni hizi mechi cha NBC. Wamezua mjadala mkubwa sana. Hata huko CAF lazima wamefanya umafia maana hata mleta mada anakiri kufanyika kwa umafia.

So tafadharini makolokocho, tylieni sindano ziwaingie. Joka mlilolifuga sasa latafuna watoto wenu.

Mlidhani mkimgukuza ataenda nyumbani kwake huku akiwapigia magoti.

Kwa usajili ambao Yanga walicheza kama Messi ni huu wa manara. Wacha kazi iendelee. [emoji16][emoji16]
Huo umafia mshindwe kuufanya nyinyi ambao huwa mnajiapiza kabisa kuwa "msimu huu ni lazima kwa namna yoyote tuchukue ubingwa"?

Nyinyi kimataifa mmeenda zaidi ya mara tano kipindi kile cha Manji ila mara zote mmekuwa vibonde kiasi cha kufanya watz wengi waamini kuwa michuano ya CAF hatuiwezi, ni Simba Sc tu ndo imekuja kuifanya mkchuano hii ionekane ni ya kawaida kuaarchieve.
 
Manara kosa lake kusema ukweli? Manara anawajua nje ndani. Kwa kikosi gani cha kuifunga Asec? Subirini next matches muone kama mtafurukuta.
inaonekana kuna ukweli, kwamba hakuna Yanga mwenye akili, wote ni mazuzu.

Ila ucjal, hata Yanga yuko anacheza kombe la shirikisho.
 
Back
Top Bottom