Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

Manara kosa lake kusema ukweli? Manara anawajua nje ndani. Kwa kikosi gani cha kuifunga Asec? Subirini next matches muone kama mtafurukuta.
Mleta post ametoa tahadhari kwamba kuna fools watakuja kumtetea nawe umejitokeza as kwanza.

Mjinga km wewe huwezi kuona matokeo hasi ya alichoandika Manara. Hiyo amepeleka ujumbe kwamba ndivyo mpira was Tz ulivyo, si kwa simba tu bali hata timu nyingine huko baadae zikija hapa zije kwa tahadhari.

Hakuna zuzu mwenye akili e!
 
Haswaa. Hawa jamaa hawajawahi kushinda kihalali. Mfano rahisi ni hizi mechi cha NBC. Wamezua mjadala mkubwa sana. Hata huko CAF lazima wamefanya umafia maana hata mleta mada anakiri kufanyika kwa umafia.

So tafadharini makolokocho, tylieni sindano ziwaingie. Joka mlilolifuga sasa latafuna watoto wenu.

Mlidhani mkimgukuza ataenda nyumbani kwake huku akiwapigia magoti.

Kwa usajili ambao Yanga walicheza kama Messi ni huu wa manara. Wacha kazi iendelee. 😁😁
sindano ipi Tena hiyo Hii ya SIMBA 3-1ASEC MIMOSAS

Yani hakuna Utopolo lenye akili. Duuuh!

Mleta hoja anazungumzia athari za alichopost Manara kwa mpira wetu huko nje.

Nafikiri hata huko waliko washamwona Ni choko tu. Wamekula tatu saaafi.
 
Mbona hujaandika kuhusu mashabiki wa Yanga waliopigwa jana uwanja wa Mkapa ?
Kwanini wewe usiandike. Kuna mtu anapangiwa cha kuandika humu.

Acha wapigwe tu hamna namna maana kihere here kimezidi. Kazi kuvaa vijora kwenye harus za watu na hujaalikwa. Washikwe makalio kabisa wakifika nyumbani wakawahadithie wake zao
 
ila hii amevuka mipaka kuhusisha ushindi wa Simba na uuaji wa binadamu mmoja
Kwani huyo binadamu kabla ya kuja Yanga alikuwepo wapi?

Mtoto mleavyo ndivyo akuavyo nyie huyo mmemlea kipindi kile yupo Simba mngemkemea kipindi kile sawa ila mlimuacha atambe. Yanga nae kwa upuuzi wao wakamchukua, ila mzoee tu kama Yanga walivyo mzoea kwa miaka Saba,Yanga afungwe ashinde achukue ubingwa Manara ataongea na kutoa kauli mbovu.
 
Kitendo cha Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kuandika kama Kuwatahadharisha Wageni wa Simba SC Klabu ya Asec Mimosa kuwa Wachukue Tahadhari zote za Hujuma za Dawa, Sumu au hata Kuuliwa Mtu haziichafui tu Simba SC bali hata Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara husika, TFF na Wadau wote wa Soka wamechafuliwa pia.

Na kuonyesha kuwa hata Yeye ameona alichokiandika ni cha Kipumbavu huko Instagram Kwake upesi sana baada ya Matokeo ya Ushindi ya Simba SC dhidi ya Asec Mimosa FC akawahi na kufuta akidhani Watumiaji Mitandao Wote ni Wapumbavu na Washamba kama walivyo kuwa hawana wakati kumbe tayari Watu wanazo na sasa Wanazishea tu.

Najua wana Yanga SC wasiojielewa ( Wapumbavu ) watamtetea ila wale wana Yanga SC makini na Werevu kamwe hawatakubaliana nalo na ndiyo watazidi Kumdharau zaidi.

Ni marumaini yangu kuwa Serikali ya Tanzania ( hasa Wizara husika ) pamoja na TFF watakaa chini ili Kumjadili na Kumchukulia hatua Kali mara moja kwani kwa alichokiandika kina Athari Mbaya sana katika Soka la Tanzania ambalo bado tunahangaika nalo Kulikuza na Kuliendeleza.

Najua wapo Majuha ( Fools ) kadhaa watamtetea kwa kusema kuwa ulikuwa ni Utani wa Simna SC na Yanga SC. Hivi kama kweli ungekuwa ni Utani huo Haji Manara angewahi Kuifuta hiyo post yake ya Kikatili huko Instagram?

Je, Haji Manara anajua athari ya ile post yake Instagram ambayo hata Klabu ya Asec Mimosa FC nao waliiona na Kumjibu tena kwa kumshukuru? Hivi Simba SC inayochukiwa na Haji Manara siyo ya Tanzania aliko Haji Manara? Simba SC ikifanikiwa Kimataifa siyo na hata Haji Manara Mwenyewe, Watanzania wote na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan nao Watafurahia na Kujivumia? Haji Manara anataka kuwapa Ujumbe gani Klabu zingine kama Gendamarie na Berkane watakaokuja Dar es Salaam Tanzania kucheza na Simba SC katika Michuano hii ya Shirikisho?

Najua Haji Manara anapata Kiburi cha ukaribu wa Baba yake Mzazi na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ambaye katika Serikali ya sasa ana influence kubwa ya Kiushauri hivyo anajiona kuwa ni Untouchable na hakuna wa kumfanya lolote kwani atalindwa vyema.

Nanyi GSM ambao mpo nyuma ya huu Upumbavu wote wa Haji Manara na mnaufurahia kwakuwa Kibiashara mnaona anapambana na Adui yenu Kibiashara Mo Dewji mkidhani kuwa atamshusha wakati kumbe ndiyo Kwanza mnajiharibia na Mabalaa makubwa yatawapata na hantokuja kuamini na huyo Kikwete wenu mwenye shares nyingi tu hapo GSM.

Kama kweli Haji Manara ni Mcha Mungu kama asemavyo namuomba awaombe Radhi wana Simba SC wote, Serikali ( Wizara ), wana Yanga SC na Wadau wote wa Soka Tanzania kwani alichokifanya ni Utani wa Hatari uliopitiliza katika Soka na hauvumiliki kamwe.

Na nyie Uongozi wa Yanga SC endeleeni tu Kumchekea Haji Manara na Kufurahia Upumbavu wake anaoufanya kwa Simba SC ila nawahakikishia kuwa ipo Siku isiyo na Jina Haji Manara huyu huyu atakuja Kuwagharimu na Kuwaponza na hamtoamini.

Baba Mzazi wa Haji Manara Mzee Sunday Manara wana Simba SC tunakupenda, tunakuheshimu na hujawahi kuwa na baya na Simba SC ila kwa Hasira za wana Simba SC ambao nimewasikia tafadhali mkanye upesi Mwanao kabla HATARI MOJA KUBWA haijamuangukia na ukawa katika MAJONZI MAISHA YOTE ya Uzeeni.

Ni nani ambaye hajui kuwa Mpira wa Afrika unatawaliwa na UMAFIA ( Hujuma + Fitina ) kwa sasa? Nani ambaye hajui kuwa Al Ahly FC ( Mabingwa na Matajiri ) ndiyo Mama wa Fitina zote za Mpira ( Soka ) hizi hizi anazozisema Haji Manara wakifuatiwa na TP Englebert Mazembe na Kaizer Chiefs FC ila je, ni lini Haji Manara aliwahi kuwasikia Maafisa Habari wa Zamalek FC ( Wapinzani wakubwa wa Al Ahly ), DC Motema Pembe ( Wapinzani wakubwa wa TP Englebert Mazembe ) na Orlando Pirates FC ( Wapinzani wakubwa wa Kaizer Chiefs FC ) wakiwaambia Wageni Mbinu za Nje ya Uwanja za Wapinzani wao?

Simba SC na Yanga SC tutaniane kwa Uswahili wetu na Vituko vyetu tu tulivyovizoea ila tusivuke Mipaka yetu hasa inapokuja Michuano ya Kimataifa ambayo huwa ina Faida si tu kwa Klabu bali hsta Klabu zingine Kucheza Michuano ya Kimataifa kwa Kubebwa na Mafanikio ya Klabu Moja iliyofanya vyema ama Champions League au Confederation Cup.

Alichokifanya ( tena kwa Kuandika ) katika Instagram page yake Haji Manara ( Msemaji wa Yanga SC ) ni Suicidal in Sports Development hivyo nitasikitika kwa kuanzia tu kama Klabu yake ya Yanga haitomuonya na Kumchukulia hatua kama kweli wako that Professional, Ethically and Committed in Sports nchini.

Na Aibu kubwa kwa Haji Manara inaanzia katika Ushindi wa Kimchezo na Kiufundi ulioupata Simba SC dhidi ya Asec Mimosa FC. Na Kocha wa Asec Mimosa katika Post March Interview amekiri kuwa Wamefungwa kutokana na Makosa yao wenyewe huku Afisa Mwandamizi wa Klabu ya Asec Mimosa amesema kuwa tokea wafike Dar es Salaam Tanzania hadi muda wa Mechi hawajakumbana na Hujuma yoyote ile je, Haji Manara hapa atauficha wapi Uso wake kwa Aibu kama hii?

Mtangazaji wa EFM Maulid Kitenge huwa unapenda mno kuja na Habari mbaya tu za Simba SC na za Kuichokonoa kila uwapo katika Kipindi hivyo nasubiria kuona muda wowote nawe pia ukilizungumzia hili na uache Wadau wa Michezo wateme Nyongo zao kwa huyo Mpumbavu Haji Manara ili abadilike kama kweli Wewe ni Mweledi na hauko biased katika Uwasilishaji wako wa Masuala mazima ya Michezo nchini.

Ushahidi wa alichokiandika Haji Manara katika Instagram Account yake uko katika Uzi wa JamiiForums Member aitwae Numero Uno Uzi wenye Kichwa cha Habari kisemacho SHOBO ZA NINI? Japo kule katika Instagram yake Haji Manara ameshaifuta.

Haji Manara ana mwisho mbaya sana!!!!
Vp kuhusu mashabiki wa yanga waliopigwa uwanjani na kufukuzwa tukio ilo ukuliona? Mbona sijaona unakemea unarukia mambo ya manara? Toa kwanza boriti la kwenye jicho lako kabla ujamnyooshea kidole mwenzako, atuwezi kukuelewa maana unaonyesha kabisa double standard kwa kuegemea upande mmoja acha manara awapige spana kwakuwa anawajua nje ndani mbinu mnazotumiaga kupata ushindi na amuwezi kumfanya chochote
 
Well said mkuu.... Yanga na watu wake walitafakari na kulitizama hili suala kwa jicho la tatu.
 
Ratiba yako ya kwenda Kukojolewa na HM ipoje?
Ipo hivi!Atapita akojolee pale ulipotoka akimaliza atapita gheto akuinamishe amwagie ndani then atakuja kupata juice ya baridi hapa kujiandaa kwenda kumalizia shoo kwa yule dada yako ya Sinza
 
Ipo hivi!Atapita akojolee pale ulipotoka akimaliza atapita gheto akuinamishe amwagie ndani then atakuja kupata juice ya baridi hapa kujiandaa kwenda kumalizia shoo kwa yule dada yako ya Sinza
Poor and Foolish You.....!!!!!!!
 
Huo umafia mshindwe kuufanya nyinyi ambao huwa mnajiapiza kabisa kuwa "msimu huu ni lazima kwa namna yoyote tuchukue ubingwa"?

Nyinyi kimataifa mmeenda zaidi ya mara tano kipindi kile cha Manji ila mara zote mmekuwa vibonde kiasi cha kufanya watz wengi waamini kuwa michuano ya CAF hatuiwezi, ni Simba Sc tu ndo imekuja kuifanya mkchuano hii ionekane ni ya kawaida kuaarchieve.
bila kuchuka kombe wote ni washiliki tu kwenye football achievement inapimwa kwa kombe no blah blah
 
sindano ipi Tena hiyo Hii ya SIMBA 3-1ASEC MIMOSAS

Yani hakuna Utopolo lenye akili. Duuuh!

Mleta hoja anazungumzia athari za alichopost Manara kwa mpira wetu huko nje.

Nafikiri hata huko waliko washamwona Ni choko tu. Wamekula tatu saaafi.
unadhani ni kwa nini mara ya pili as vita anakuja kula 4-1 hawakusikiliza tena ushauri wao wa kijinga? mara ya kwanza waliambiwa wasiingie vyumbani half time wakajilaza kwenye corridors kama wamekufa wakapigwa 2-1..mazembe alivyokuja kumtoa simba robo fainalihakusikilizaga ushauri wa utopolo hata kidogo nafikiri hat as mimosa wamewaona utopolo wajinga tu maana nasikia walikesha hotelini kwa mimosa wanawapa mbinu na kuwajaza maneno
 
bila kuchuka kombe wote ni washiliki tu kwenye football achievement inapimwa kwa kombe no blah blah
siku nyingine mkiwa mnaona ranks team iko top 20 msiwe mnalialia sasa kama nyie lengo ni kushiriki na kutolewa roiund ya awali vipigo nje ndani, mnyamaze kimya wakati watu wenye akili timamu wana aim higher.
 
Back
Top Bottom