Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe ni poyoyo tena usijejitambuwa, ni bora tunaojitambuwa, usingekuwa poyoyo wewe, usingekubali kulipia umeme bei ghari kuliko nchi yeyote, usingekubali Serikali iuze nyumba za watumishi wake, usingekubali G Tv kudhurumu Watanzania na kuingia mitini, hayo ni kwa uchache tu.Tuheshimiane hapo kwenye blue, kama ni upoyoyo ni wewe acha ku-generalize
Unataka uheshimiwa kwa yepi poyoyo wewe, usingekuwa poyoyo usingekubali Darasa la saba alipwe mshahara wa shilling Millioni 11 kisa eti Mbunge.