Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe ni poyoyo tena usijejitambuwa, ni bora tunaojitambuwa, usingekuwa poyoyo wewe, usingekubali kulipia umeme bei ghari kuliko nchi yeyote, usingekubali Serikali iuze nyumba za watumishi wake, usingekubali G Tv kudhurumu Watanzania na kuingia mitini, hayo ni kwa uchache tu.Tuheshimiane hapo kwenye blue, kama ni upoyoyo ni wewe acha ku-generalize
This issue is getting serious now, Lat week nilikuwa nasafirisha Familia yangu irudi Mwanza na isitoshe mtoto awahi shule, walipoingia ndani Airport wakaambiwa muda wa check in umekwisha na ticket haiwezi kutumika tena kwa next flight, ilibidi niwahi Ubungo wawahi kuondoka alfajili na mabasi ya Mwanza. hili swala linaniuma sana ila nashindwa kulifuatilia najuwa nitapoteza muda wangu bure.
Nilikata Go and Return ticket kutoka Mwanza kuja Dar na Dar to Mwanza halafu wao wananiambia aliyekosea kuandika muda wa reporting time ni Agent wa Mwanza na ninapaswa nikamlalamikie yeye, na yeye hajui kama mimi naishi Dar es salaam majibu ya kipuuzi kama haya unaweza kumtandika mtu nakozi ikawa kesi nyingine ndio maana nimeamuwa kujikalia kimya, mjinga mimi.
Sawa Mzee wa kwembe kati, hebu fafanua nini maana ya online booking?, mbona mashirika mengine hayana uhuni huo? kauli yangu haitabadilika hawa ni Fastjocke aka ni wahuni. Nimeshafanya hivyo kwenye Precision Airway na hawana tatizo kabisa
Wewe ni poyoyo tena usijejitambuwa, ni bora tunaojitambuwa, usingekuwa poyoyo wewe, usingekubali kulipia umeme bei ghari kuliko nchi yeyote, usingekubali Serikali iuze nyumba za watumishi wake, usingekubali G Tv kudhurumu Watanzania na kuingia mitini, hayo ni kwa uchache tu.
Unataka uheshimiwa kwa yepi poyoyo wewe, usingekuwa poyoyo usingekubali Darasa la saba alipwe mshahara wa shilling Millioni 11 kisa eti Mbunge.
Nadhani hujanielewa, mimi nafahamu vyema maana ya check in, Travelling record yangu abroad inanipa uzoefu huu, lakini hili sikuwa mimi nasafiri bali nilipeleka Famili."- Check in closes 40 minutes before departure - No name changes or refunds."
Walidhani umesoma vyema hii sehemu? Au nakosea!?
Nakubaliana kuwa awasiliane na Ofisi za Fast Jet ili kuwasilisha malalamiko rasmi, and in writting.Pole mkuu,
Wasiliana na management achana na huyo uliyemkuta counter.
Hiyo itinerary yako ni contract inayolibana shirika, una haki ya kuwashitaki wasipokupa ticket yako kwa bei waliyokupatia awali.
Record ya Easyjet shirika mama la Fastjet ni nzuri mkuu, sasa kama hawa Fastjet kwa kuwa wako Africa wanataka kufanya mambo kinyemela itakula kwao!
Wewe umenielewa vyema msingi wa malalamiko yangu, ni kwa nini nisafe loss kwa makosa yao? halafu hata hivi vijana walivyovipachika kwenye customer care havina tofauti na waimba Bongo Fleva, usipoweza kudhibiti hasira zako waweza kujikuta umeshamtandika mangumi mmoja wao kwa majibu yao mepesi.Nakubaliana kuwa awasiliane na Ofisi za Fast Jet ili kuwasilisha malalamiko rasmi, and in writting.
Lakini wanasheria mliomo humu JF hebu tujulisheni, hizo conditions zilizowekwa kitaalam zinaitwa EXCLUSION CLAUSES.
Yaani hata wakifanya makosa wao inakula kwako-they have no resposibility whatsoevre baada ya kuchukua pesa zako!
Hii si sahihi, kwani inaweza kuwa AN UNFAIR CONTRACT.
Haya TUNDU LISSU upo?
Nakumbuka wewe ulijitambulisha humu kama Mwanasheria tunaomba mchango wako wa kitaaluma kwenye uhuni huu.Fastjet ni kama Babu wa Loliondo
Nadhani hujanielewa, mimi nafahamu vyema maana ya check in, Travelling record yangu abroad inanipa uzoefu huu, lakini hili sikuwa mimi nasafiri bali nilipeleka Famili.
Ticket imeandikwa reporting time ni 14 hours na departure time ni 15 hours, nilipokwenda kulalamika kwa customer care wao ananiambia reporting time ilikuwa ni 13 hours, hapa kosa langu ni lipi? na uzuri reporting time huwa wanaandika wenyewe kwa pen, sasa hapa haki iko wapi, na kinachokera zaidi local flight kwenye errors kama hizi walipaswa kuzisolve wale abiria ambao walishaingia ndani walipaswa kuwaruhusu wasafiri, au ndi siti moja inaweza ikawa imekatwa ticket 3? i smell fishy.
Kama suala ni kukubali basi wewe na mzazi wako ndo mapoyoyo kwa kukubali ujinga huo..! Naona huna jipya zaidi ya kukazania neno kukubali kukubali, mwishowe utakubali kuliwa tigo kwa, nani kakuambia mimi nimekubali kulipa umeme kwa bei tajwa..? Njaa zenu ndo ziliwapeleka Gtv..!Wewe ni poyoyo tena usijejitambuwa, ni bora tunaojitambuwa, usingekuwa poyoyo wewe, usingekubali kulipia umeme bei ghari kuliko nchi yeyote, usingekubali Serikali iuze nyumba za watumishi wake, usingekubali G Tv kudhurumu Watanzania na kuingia mitini, hayo ni kwa uchache tu.
Unataka uheshimiwa kwa yepi poyoyo wewe, usingekuwa poyoyo usingekubali Darasa la saba alipwe mshahara wa shilling Millioni 11 kisa eti Mbunge.
Ndio maana nimeishiwa nguvu, na nawasubili walionunuwa ving'amuzi watakapoanza kulia ndio watalijuwa Jiji, nimeapa sinunui king'amuzi hata kwa bakora hii ni miradi ya watu, niko tayari kulifufuwa satelite dish langu kuliko kufanyana wajinga this much.Ni kweli mkuu sikua nimeelewa vizuri, sasa nimeelewa. Ni wahuni, kama walikosea wao wewe haikuhusu, so ni kama ulipewa adhabu usiyostahili.
Panaweza kuwa na kitu kama hicho tiketi kuwa imeuzwa kwa watu zaidi labda, maana katika hali ilivyo sasa kwenye nchi yetu lolote linaweza kutokea, naamini uliona lile bandiko la ile kampuni ya mikopo ya bure, bila bond wala chochote,eti msimamizi akiwa mkuu wa kaya, na eti kwa kuwa yuko bize akamteua mtoto wa mkulima kuwa General Manager, na Loan Officer ni Riz1!!
Hapa tulipo hatuna wa kututoa kwa kweli, ni sisi kufanya uamuzi, tena MAPEMA! ...maana nadhani kuna makubwa zaidi yanakuja!
Labda mwenzetu unajuwa mengi, kwa upeo wangu mdogo ukimis Flight nijuavyo unatakiwa ulipe 25% kwa ajili ya next Flight, sasa hawa wenzetu wanatumia sheria ipi kwamba ukimis Flight basi imekula kwako na unakuta reporting time hukuandikiwa sahihi?
Katika jicho la kisheria,mkataba kati ya Mchokozi na Fastjet uliingiwa wakati na muda ule ambapo Mchokozi alijaza maelezo yake kwa njia ya mtandao na kutumiwa kumbukumbu alizoziburuza na kwenda nazo.Hivyobasi, Mchokozi anapaswa kulipa Tshs.75040 na si vinginevyo.Nakumbuka wewe ulijitambulisha humu kama Mwanasheria tunaomba mchango wako wa kitaaluma kwenye uhuni huu.
poleni sana nyote mliojeruhiwa, kwa kweli inasikitisha sana na ukiona hivyo ujue wenye njaa wameingia.
Kinaniudhi sana kile kikasuku chao na maneno kama ya mtu asiye na meno, "fasterjet smart travel"
iwe hivi fasterjet "worst travel"
-Your new fare will be at least the fare you originally booked or may be more.
-You cannot change to a lower fare.
-No refund will be applicable if a lower fare is available.
-Fare difference is the difference (if any) between the fare orignally booked and the new fare available.
: