Kwa uimara na kupata wingi wa sperm

Kwa uimara na kupata wingi wa sperm

Ukitaka watu wanunue bidhaa yako.. Waambie inaongeza nguvu za kiume hata kama n cha umeme watanunua wakajaribu..nadhani ndio unachojaribu kufanya
 
Majani ya mpera;

Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
Kaka alitumiaje? Je ukilinganisha kabla ya kutumia majani ya mpera na baada ya kutumia nini tofauti yake.

Halafu umesema uimara wa uume na sperms si ni ndiyo?
 
Wingi wa sperms unategemea aina ya vyakula atumiavyo mtu. Mfano chakula vya protein kama maziwa, Mayan na. samaki n.a. matunda pamoja na. Unywaji maji kwa wingi.Pia ulaji wa vyakula vya kiasili kama karanga mibichi na mihogo mibichi. Ndio maana siku HIZI imezuka biashara ya akina mama kutembeza mihogo mibichi, Nazi, na. Karanga kwa lengo la kuwakomboa wanaume hasa wa Dar es Salaam
 
unapaka kwenye uume kwenye kokwa,unakunywa,unameza zima zima,unalitizama au unalala nalo ilo jani la mpera??
 
hahahaha
ilitokea dr.moja hivi wa dawa za kienyeji kawaambia watu kwamba ule mkojo wa alfajiri ni dawa duh watu walikunywa walikunywa hizo mikojo acha tu hadhi wanatia huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkojo
 
Madokta humu ndani wamejaa, utaletaje dawa wakati hujafanya utafiti wa kutosha, tunaomba uthibitisho wa maelezo yako.
Wenda mleta mada yupo kwenye research ya kupata maoni ya Wana jf maana Kuna njia nyingi ya kupeleka maswali kwa watu.
 
Back
Top Bottom