Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,035
duh kazi ipo!!! miss we ni mmasai???unachemsha unakunywa kila siku lita moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh kazi ipo!!! miss we ni mmasai???unachemsha unakunywa kila siku lita moja
mimi siuzi kitu mkuuUkitaka watu wanunue bidhaa yako.. Waambie inaongeza nguvu za kiume hata kama n cha umeme watanunua wakajaribu..nadhani ndio unachojaribu kufanya
Ulijuaje? Na jinsia tofautiMajani ya mpera;
Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
Kaka alitumiaje? Je ukilinganisha kabla ya kutumia majani ya mpera na baada ya kutumia nini tofauti yake.Majani ya mpera;
Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
Jealous of the Rain [emoji34]nazijua sana baby
Sawa ila unajaribu kutushauri dawa ambayo hujawah kutumiamimi siuzi kitu mkuu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]...tuasikia mengi mwaka huu
Hapo sasaUmijuaje???
Nina wasiwasi na taaluma yako...Majani ya mpera;
Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
Hiyo kuongeza sperm ina faida gani wakati sperm moja ina uwezo wa kurutubisha yai???Majani ya mpera;
Yanaongeza wingi na uimara wa mbegu (sperm) kwa wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkojohahahaha
ilitokea dr.moja hivi wa dawa za kienyeji kawaambia watu kwamba ule mkojo wa alfajiri ni dawa duh watu walikunywa walikunywa hizo mikojo acha tu hadhi wanatia huruma.
unaandaje sasa unapika kama supu au unaakaanga kama mayaitumia uone kama hujatoa debe la sperm