Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 797
- 2,233
Tunatofautiana.
Mimi kwa kuona hiyo sura tu, tayari ningejua huyo mtu siyo.
Mimi kwa kuona hiyo sura tu, tayari ningejua huyo mtu siyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mtu nilishangaa sana id ya mtu alie kufa anajipostKuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd 😂😂😂
Sema na wewe unazingua, yani unambeba mtu humu mitandaoni humjui vizuri unaenda kumweka kwenye miamala?
Hata mimi karibiria nimwambie mleta mada anatupima akiliTunatofautiana.
Mimi kwa kuona hiyo sura tu, tayari ningejua huyo mtu siyo.
tulianza naye jumapili tu,vifaa na pesa alikuwa anapewa asubuhi.Muamala mmoja wa halotel nimeona kanunua mud wamaongezi elf 18.5Dah, hiyo kazi kaifanya kwa mda gani hapo kwako?
Hii kali sasa 🤣🤣🤣 nipe link nikavunje mbavu huko.Kuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd 😂😂😂
Sema na wewe unazingua, yani unambeba mtu humu mitandaoni humjui vizuri unaenda kumweka kwenye miamala?
Pole sana mkuutulianza naye jumapili tu,vifaa na pesa alikuwa anapewa asubuhi.Muamala mmoja wa halotel nimeona kanunua mud wamaongezi elf 18.5
Ukamuacha aendele na kazi?tulianza naye jumapili tu,vifaa na pesa alikuwa anapewa asubuhi.Muamala mmoja wa halotel nimeona kanunua mud wamaongezi elf 18.5
Imeisha hiyo,mtuhumiwa wako atakamatwa very soon, ukisha tupia humu Jamiiforum jambo lako la haki,hadi Mama anasoma na kama analimudu atalitolea maelekezo!!kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi,nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.Tukakubaliana nimtumie nusu nauli.Nilimtumia lakn siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup.Nilkoment jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.Akaniahid atakuja ,kweli akaja Dar Es Salaam had nyumbni ,nikamuonesha maeneo ya kazi zangu.Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu.Asubuhi ya Leo kachukua laki sita,simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia.Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.Anaitwa Aman ,ID yake humu ni Kababrah.Picha yake ni
Ni baada ya moderator kuziunganisha ndipo ukaona hivyo. I'd iliyoleta habari ya msiba ilijiita MZEE MKUBWA marehemu alikua ni mjarisi wa maliYule mtu nilishangaa sana id ya mtu alie kufa anajipost
😂😂😂 kwamba kaka wa marehemu alikuwa anjua id ya mdogo wake duh alikosa kutumia akili kabisaNi baada ya moderator kuziunganisha ndipo ukaona hivyo. I'd iliyoleta habari ya msiba ilijiita MZEE MKUBWA marehemu alikua ni mjarisi wa mali
Mbona mtu mwenyewe anaonekana mchele mchele?kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi,nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.Tukakubaliana nimtumie nusu nauli.Nilimtumia lakn siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup.Nilkoment jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.Akaniahid atakuja ,kweli akaja Dar Es Salaam had nyumbni ,nikamuonesha maeneo ya kazi zangu.Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu.Asubuhi ya Leo kachukua laki sita,simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia.Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.Anaitwa Aman ,ID yake humu ni Kababrah.Picha yake ni
Alianza kulete vipengele sana...hiyo ilikuwa inatosha kabisa kupiga chini...nauli siyo ishuAse mimi kwa picha tu kumuani ngumu pili alipo sema kaibiwa na vibaka itoshe kusema ni tapeli
Vijana wema wapo jf na wabaya wapo ila hii ni fundisho