Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Kuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd 😂😂😂

Sema na wewe unazingua, yani unambeba mtu humu mitandaoni humjui vizuri unaenda kumweka kwenye miamala?
Yule mtu nilishangaa sana id ya mtu alie kufa anajipost
 
Kuna mwingine sijui ni jana au juzi kaleta uzi kuwa member mwenzetu fulani amefariki msiba uko sehemu fulani.
Baadae watu wanatoa pole si moderator wakagundua marehemu na aliyeleta habari ni mtu mmoja ikabidi waunganishe zile I'd 😂😂😂

Sema na wewe unazingua, yani unambeba mtu humu mitandaoni humjui vizuri unaenda kumweka kwenye miamala?
Hii kali sasa 🤣🤣🤣 nipe link nikavunje mbavu huko.
 
kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi,nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.Tukakubaliana nimtumie nusu nauli.Nilimtumia lakn siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup.Nilkoment jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.Akaniahid atakuja ,kweli akaja Dar Es Salaam had nyumbni ,nikamuonesha maeneo ya kazi zangu.Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu.Asubuhi ya Leo kachukua laki sita,simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia.Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.Anaitwa Aman ,ID yake humu ni Kababrah.Picha yake ni
Imeisha hiyo,mtuhumiwa wako atakamatwa very soon, ukisha tupia humu Jamiiforum jambo lako la haki,hadi Mama anasoma na kama analimudu atalitolea maelekezo!!
 
kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi,nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.Tukakubaliana nimtumie nusu nauli.Nilimtumia lakn siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup.Nilkoment jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.Akaniahid atakuja ,kweli akaja Dar Es Salaam had nyumbni ,nikamuonesha maeneo ya kazi zangu.Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu.Asubuhi ya Leo kachukua laki sita,simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia.Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.Anaitwa Aman ,ID yake humu ni Kababrah.Picha yake ni
Mbona mtu mwenyewe anaonekana mchele mchele?
 
Back
Top Bottom