Kwa ujinga huu wa CRDB kutoa taarifa za wateja bila idhini halali ya Mahakama, naiona bank ikikosa trust na kuporomoka kimapato soon!

Kwa ujinga huu wa CRDB kutoa taarifa za wateja bila idhini halali ya Mahakama, naiona bank ikikosa trust na kuporomoka kimapato soon!

Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa kwa vimemo.

Tunaweka pesa zetu kwa trust ila CRDB wameamua kujifanya wamejizima Data kwa hili. Soon Majibu mtayapata………so shame CRDB!
ok. :1Head:
 
Wamempa Heche credit ya kumlipa mafao!
 
Si polisi bali mahakama ndo inatoa agizo hilo. Sina hakika na polisi kama wanayo hiyo mandate
Nadhani pia kuna haja watu kujielimisha kuhusu taratibu za kiuchunguzi, haswa linapokuja suala la miamala ya kifedha. Pia ni vyema kujua kama taarifa iliyowasilishwa ni statement ya miamala au ni nakala za risiti anazopewa mteja pindi anapoweka fedha kwenye akaunti yake au ya mtu mwingine.

Mfano, taasisi kama TAKUKURU, Police, Mahakama etc wanaweza itisha nyaraka za kibenki/kifedha kwa utaratibu maalum endapo kuna kesi au tuhuma za kiuchunguzi. Hizi taasisi kama mabenki huwa zina legal departments ambazo hufanya upembuzi wa maombi ya nyaraka kabla hazijatolewa.

Chukua mfano wa kesi ya utapeli wa kimtandao, unaestablish vipi kesi kama hutakuwa na ushahidi wa miamala?.
 
Miaka flani hapo nyuma ulitoka "mkeka" wa watu walioramba Pesa ya Tegeta Escrow Account ambayo walipewa na Mzee wangu Mzee Rugemalila. Pesa hizo zilipitia Mkombozi Bank na majina kama Prof. Anna Tibaijuka, Wakili William Ngereja na Askofu Methodius Kilaini kutaja wachache yalionekana pamoja na akaunti namba zao. Sikusikia kelele zozote za wanaharakati uchwara wa JF wakilalamika kwanini Mkombozi Bank ( Benki ya Kanisa Katoliki Tanzania) ilitoa taarifa za wateja wake! Ahahahahaha!!

Cha kuchekesha, wanaharakati uchwara wa JF hawa hawa wakawa wanailazimisha Stanbic Bank itoe taarifa za wateja waliochukua fedha kwenye "viroba" kutoka kwenye akaunti namba zao! Ahahahahaha!!

Cha kutia wazimu kabisa, wanaharakati uchwara hao hao leo eti wanataka kwenda mahakamani eti kwanini Wakili Mkuu wa Serikali Nassoro Katuga kaonesha mahakamani John Wegesa Heche (mwenzao) kaingiziwa hela milioni 20 na baadae milioni 10 na mtu aitwaye Salman Nilesh ambaye John Wegesa Heche anamkana kuwa hamjui ingawa kamwekea hela na hela anazitambua!

Ahahahahaha! Ngoja nione nyumbu wanavyoruka na kukanyagana!!
Mtibeli jana aliandika mada kuonya udikteta wa chadema, akatukanwa sana na hao chadema wa JF. Ukweli ni kuwa hawa jamaa ni hovyo kuliko uhovyo wenyewe....,..wanafiki mno.
 
Huna hata kadi ya Benki halafu unapiga Domo hapa
Uwe basi unajaribu kutulia kidogo na kutafakari kabls ya kugeuza kila eneo ulilopo kuwa msalani.

Huyo jamaa umewahi hata kufuatilia baadhi ya post zake hapa jukwaani?
 
Mtibeli jana aliandika mada kuonya udikteta wa chadema, akatukanwa sana na hao chadema wa JF. Ukweli ni kuwa hawa jamaa ni hovyo kuliko uhovyo wenyewe....,..wanafiki mno.
Yaani ni zaidi ya watu wa hovyo! Hakuna watu wabaya kama megalomania. Na Chadema megalomania wamejaa tele.
 
Mimi ni mteja wa CRDB ila kwa ujinga huu wanaoufanya wa kutoa taarifa za miamala yetu bila idhini halali ya mahakama, umenifafakarisha sana! Nsekela amekua CEO wa kwanza kwa ujinga wa kupelekeshwa kwa vimemo.

Tunaweka pesa zetu kwa trust ila CRDB wameamua kujifanya wamejizima Data kwa hili. Soon Majibu mtayapata………so shame CRDB!
Crdb tunaomba ufafanuzi ambao hautachukua Zaid ya saa 12 ,Kwa nn mkae kmya?
 
Back
Top Bottom