Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani.
Baadaye wataanza kulia ooohh mahakama, mahakama, mahakama.
Kama mahakama haina haki kwa wapinzani kwanini mlipeleka mawakili?
Kwanini mnahudhuria kesi ya kubumba kama mnavyoiita?
Niliwashauri mapema CHADEMA wasipeleke wakili, wasihudhurie kesi, yaani waisusie. Hata LISSU asijibu chochote. Kwakuwa CHADEMA akili zao fupi waneingia maxima, baadaye wataanza kulia