Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Sheria ya kunyongwa ilishafutwa kitambo
Akina Tlaatlaah mpo wengi sana. Sasa unasema ameshapatikana na hatia,sasa si ahukumiwe. Itakuwa hujui hata unachoongelea. Kabla ya ku post mpe Tla aipitie kwanza. Shame on youMtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani.
Baadaye wataanza kulia ooohh mahakama, mahakama, mahakama.
Kama mahakama haina haki kwa wapinzani kwanini mlipeleka mawakili?
Kwanini mnahudhuria kesi ya kubumba kama mnavyoiita?
Niliwashauri mapema CHADEMA wasipeleke wakili, wasihudhurie kesi, yaani waisusie. Hata LISSU asijibu chochote. Kwakuwa CHADEMA akili zao fupi waneingia maxima, baadaye wataanza kulia
Kama ndivyo si waruhusu SSH aende kujibu maswali mahakamani?Mtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani.
Baadaye wataanza kulia ooohh mahakama, mahakama, mahakama.
Kama mahakama haina haki kwa wapinzani kwanini mlipeleka mawakili?
Kwanini mnahudhuria kesi ya kubumba kama mnavyoiita?
Niliwashauri mapema CHADEMA wasipeleke wakili, wasihudhurie kesi, yaani waisusie. Hata LISSU asijibu chochote. Kwakuwa CHADEMA akili zao fupi waneingia maxima, baadaye wataanza kulia
Mbona vyote vipo ndani ya uwezo wenu mi ntawaona wa ajabu kama akiachwa huru ntashangaa saanamahakamani sio suala la mumuona mtu gentleman,
ni suala la kutoa ushahidi ili hatimae anaestahili haki apate haki yake ambayo inaweza kua kufungwa, kunyongwa hadi kufa au kuachiwa huru 🐒
Gentleman,Mbona vyote vipo ndani ya uwezo wenu mi ntawaona wa ajabu kama akiachwa huru ntashangaa saana

Afrika na Tanzania tuna aina ya demolrasia yetu nadhani tuishie hapaGentleman,
Mahakama huru za Tanzania haziko na uwezo wa mtu au watu,
bali hutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria bila kujali dhana potofu mbalimbali kuihusu.![]()
ok.🐒Afrika na Tanzania tuna aina ya demolrasia yetu nadhani tuishie hapa
Wewe inakuuma nini hata mama yako Akimfungaa .Mtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani.