Uchaguzi 2020 Kwa ukata huu walionao CHADEMA, wataweza kuwagharamia mawakala?

Hebu ona hii wananchi baada ya kupewa kadi za ccm,T-shirt,kofia Burr na 5000/= kila mmoja ili wahudhurie mikutano yao,baada ya mkutano wantupa zile kadi na wengine t-shirts hapo uwanjani ni 5000 tu ndo hazitupwi hebu ona hii asubuhi baada ya mkutano jioni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…