ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,286
- 3,203
Umeshawaza kama hizi za kampeni walipewa na serikali kama ruzuku? Vipi kuhusu pesa za kumlipa Amsterdam? Mafuta yakuzunguka na gari?Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.