Rwabugonzi
Member
- Sep 27, 2020
- 70
- 125
Huku katika upinzani, watu tulishazowea kujitolea, hakuna Lori wala basi la kusomba watu kujaza watu mikutanoni. Hivyo hivyo katika usimamizi wa kura, tutajitolea kwa hali na mali kulinda kura za wagombea wetu. Anayedhani kuwa kutakuwa na mteremko wa kuiba kura za upinzani pole yake.Siasa ni gharama kwa hiyo ili chama cha siasa kiweze kufanikisha malengo yake lazima wanachama na wafuasi wake wajitolee kwa hali na mali....