Uchaguzi 2020 Kwa ukata huu walionao CHADEMA, wataweza kuwagharamia mawakala?

Uchaguzi 2020 Kwa ukata huu walionao CHADEMA, wataweza kuwagharamia mawakala?

Huu ulazima wa kila wakala kulipwa 30,000 unatoka wapi au hii ni sheria? Mbona sisiem pamoja na kujichotea tu pesa za walipa kodi lakini miaka tu ya hivi karibuni waliwapa mawakala wao mpunga wa elfu 3 na 5,000/=!!
 
Acha uongo,chakula cha mchana na kukesha unahesabu kura kwa elfu tano?
 
Wakala anakula pesa ya CCM kisha anasimamia haki mtamfanya nini? Kama Rais wako mtukufu magufuli anapendwa na watanzania iweje mjihangaishe kuihujumu chadema si muache uchaguzi huru na haki ufanyike?

Ujinga huo sifanyi kwa wale wabunge wa chadema waliokula hela kutusaliti.sasa ni muda wetu kuwafundisha adabu! Siwezi kulinda kula za wasaliti mimi
 
Kwani Tundu Lissu alipata wapi pesa za matibabu baada ya kumnyima stahiki zake?Na Nyerere alipata wapi pesa za kuwatimua wakoloni?Mamilioni ya Watanzania tupo nyuma ya chadema na mia 5 zetu kuichangia Katika hatuna zote mpaka ushindi.
Na kwa Neema.Ya Mungu Baba tutashinda!
Hujaona beberu wa Lissu akihangaika kule Twitter ili mtu wake awe rais? Yule ndio aligaramia matibabu yake.
 
Kwa taarifa yako, Chadema haiwezi kukosa fedha za kuwahudumia mawakala wao.

Na leo hii Chadema wakisema tuwachangie hela za kuwahudumia mawakala wao ndani ya siku 5 wataraise bil 10. Mark my words
Miloni 300 mlitumia siku 3 hiyo bilion 10 piga hesabu mtatumia siku ngapi?
 
Miloni 300 mlitumia siku 3 hiyo bilion 10 piga hesabu mtatumia siku ngapi?
Hakuna Kiu kuu kwa watanzania sasaivi kama ya kumtoa huyu nduli Jiwe ikulu. Si wafanyabiashara si matajiri si wafanyakazi pia wakulima. Kama suala la kuhakikisha ushindi wa Chadema ni mawakala kuwepo vituoni wote tuko tayari kujibana hata kula hiyo hela tuichange na iende kuhudumia mawakala. Bil 10 lazima ipatikane ndani ya siku 5
 
Nilikuwa wakala wa chadema uchaguzi wa 2015,nilicholipwa kilisikitisha sana ila nimesamehe tu,kazi ya uwakala si ya kitoto,niliondoka kituoni saa 7 usiku
 
Mimi nitajitolea bure kabisa. Sihitaji malipo ya aina yoyote. Huo ndio utakuwa mchango wangu kwa chama changu. Tupo wengi sana ambao tupo tayari kujitolea.
 
Mataga bhana na lile singeli ya Lissu hana hela ya kampeni na CHADEMA limeishia wapi, safari hii Mungu atafanya miujiza tulieni,wengi tutajitolea kuwa mawakala waaminifu bila posho tutaenda vituoni na maji na maandazi hadi mwisho haki haipatikani bila wachache kuumia
 
Hakuna Kiu kuu kwa watanzania sasaivi kama ya kumtoa huyu nduli Jiwe ikulu. Si wafanyabiashara si matajiri si wafanyakazi pia wakulima. Kama suala la kuhakikisha ushindi wa Chadema ni mawakala kuwepo vituoni wote tuko tayari kujibana hata kula hiyo hela tuichange na iende kuhudumia mawakala. Bil 10 lazima ipatikane ndani ya siku 5
Endelea kuota mkuu!
IMG_20201004_173712.jpeg
 
Back
Top Bottom