Uchaguzi 2020 Kwa ukata huu walionao CHADEMA, wataweza kuwagharamia mawakala?

Uchaguzi 2020 Kwa ukata huu walionao CHADEMA, wataweza kuwagharamia mawakala?

Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
Money doesn't necessarily answer all things..
 
Kwa hiyo unawahi mahali wakati watu wanafunga vipaza sauti unapiga picha unatuma we fala kweli

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Huna ujualo mkuu! Nikwambie tu hiyo picha nmeichukua saa 11:30 jioni wakati mkutano ukiendelea na hapo gari ilipita kila kona kutangaza.

Nikasema ngoja nifanye kautafiti kidogo kwa watu waliokuwa pembeni kabisa, nikawauliza watu 3 kwanini hamsogei kwenye mkutano?

Majibu niliyopewa:
Wa kwanza anasema hakuna mtu atakuka kukuletea maendeleo, maendelo ni juhudi zako binafsi. Jibu hili linatoa taswira kwamba huyu mtu kura yake ni kwa kijani.

Wa pili alinijibu tu kwa kifupi "chadema hamna kitu". Hili jibu lilinifanya nicheke na kuangalia tu unaona tayari huyu mtu kura yake ni kwa kijani.

Wa tatu alinijibu kwamba mambo ya siasa haya nawaachia wenywe bhana.

Kwa upande wa mgombea pamoja na kutoa ahadi za kutatua kero za eneo husika ila hakusema atazitatuaje wakati ahadi kama hizo zilitolewa na diwani anaemaliza muda wake ambae pia ni chadema.

Kiukweli, nikiona watu wanashangilia humu kwamba Lisu anashinda, unabaki kucheka tu.
 
Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
unajipa moyo.......pole mkuu
 
Hata kama kujitolea ndio watu watajitolea Tanzania nzima,na watashinda njaa bila chakula?
 
Ikumbukwe kabla ya kwenda iringa alikua kapumzika siku tano mfululizo, kukatishwa kwa kampeni na mgombea huyu kwa sababu za kubana matumizi kumelazimisha tume mstopishe kampeni za Lisu ili naye akae nyumbani Kama mgombea wa ccm
Kumbe anapunzika kwa ajili ya kubana matumizi?

Si manasema anaenda gereji means anaumwa?

Chadema hamjielewi.
 
CCM wao wanapata wapi pesa nyingi kiasi hicho? Mimi naamini SIASA ni sawa na IMANI kuna watakaokuwa tayari kufanya hiyo kazi kwa gharama zao
Dah unauliza CCM wanapata wapi pesa zote!?.. Mkuu hakuna wakala wa CDM asiyejua chadema walichangisha wabunge kila mwezi zikafika zaidi ya bil.5 na Sasa hivi hazionekani. Utamshawishi nani ajitolee tu kusimamia burebure!??
 
Huyu Baba ni mnyenyekevu sana, amesaidia Watanzania wengi, kupiga magoti ni unyenyekevu alionao
mhhhh Lissu amewabananisha kwenye kona ya kitanda round hii sio magoti tu mtatembea hadi na matumbo kama chatu mkiwa mnaomba kura.
 
Kweli Kama haya ndio mazungumzo ya NECCCM

IMG-20201005-WA0009.jpg
Ni fake hiyo kaka
Imetungwa na watu wabaya
 
Back
Top Bottom