Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 2,278
- 3,960
Naunga mkono hojaNiliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.