Uchaguzi 2020 Kwa ukata huu walionao CHADEMA, wataweza kuwagharamia mawakala?

Yani imefikia hatua ACT Wazalendo ina mabango mengi kuzidi CHADEMA!

Mbowe siyo mtu mzuri kabisa, ruzuku yote sikui kaipeleka wapi?
CHADEMA ndo inakufanya we ukeshe JF kutafuta ugali wa watoto ,bila CHADEMA imara hata Lumumba wasingekuajiri hata hiyo buku 7
 
Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
Ndo ilivyo,Kama ambavyo na sisi tunakuona wewe ni punguani na juha tulichanga kuwatoa viongozi,tutashindwa za uchaguzi??
 
Tunaongelea bilioni 4 sio milioni 300, by the way Lissu hawezi kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER, Sio 2020 tu bali kamwe. Kadiri uchaguzi unavyokaribia ndo mtaelewa ninachomaanisha.
 
Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
Haaa haaa na kweli aisee ukiwaambia hivyo wanakuwa wakali kweli.Wana hali ngumu kwa kweli bado muda mchache tutashuhudia tuu.
 
Hii nayo ni post? Subiri shule zifunguliwe mrudi shuleni mkasome.
 
Hoja kumbe siyo kwamba Lisu hatashinda??? Bali mawakala WATAHUJUMIWA???? What if wasipo hujumiwa???
Ningekuwa na uwezo ningefuta vyuo vyote vilivyoanzishwa baada ya Body ya mikopo kuanzishwa. Na zile form 4 zenye GPA na vyeti vyenye picha ningefuta. Watu wote wenye vyeti hivi ndo wenye akili ndogo
Changu kina sahihi ya Ndalichako, alipokuwa katibu wa Necta
 
Tunaongelea bilioni 4 sio milioni 300, by the way Lissu hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER, Sio 2020 tu bali kamwe. Kadiri uchaguzi unavyokaribia ndo mtaelewa ninachomaanisha.
Wapenda demokrasia tumeamua iwe hivyo, huyo ndiye Rais ajaye. Ikifanyika dhulma yeyote dhidi ya kura zetu tutaingia barabarani kuzidai kwa nguvu, uonevu sasa basi.
 
Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
Mbowe Ana bil 8.9 kutoka mishahara ya wabunge. Wanaweza kulipa.
 
Niliwahi kuwapa hesabu hapa... Vituo vipo 80,000+++, hizo ++ tuzitoe. Kila kituo wakikaa mawakala wawili wa CHADEMA ni sawa na mawakala 160,000. Kila wakala ukimlipa 30,000 kwa siku ni sawa na 160,000x30,000 = 4,800,000,000(Bilioni 4.8), Maswali: Je, Chadema wanazo?, Je,zinawatosha mawakala wasirubuniwe na CCM?,. Ndo maana huwa nikimuona mtu anakomaa eti Lissu atashinda uraisi namuona punguani na hana akili.
Wakala ni mfia chama hategemei kulipwa, sana sana atapewa lunch tu.
 
Mkuu mawakala wapo chini ya wagombea wa eneo husika. Mfano, mgombea ubunge katika jimbo flani anaweka mawakala katika jimbo lake. Mara nyingi huwa ni ndugu,jamaa na marafiki wa karibu wa mgombea. Hawa hufanya usimamizi kwa kujitolea sio wanaccm wenye njaa kali. Hii ivyo ivyo hadi kwa madiwani.
 
Tunaongelea bilioni 4 sio milioni 300, by the way Lissu hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER, Sio 2020 tu bali kamwe. Kadiri uchaguzi unavyokaribia ndo mtaelewa ninachomaanisha.
Hii ni dawa chungu, wasiopenda hata kuisikia. Sio Lissu tu, wakala yeyote kwenye chama cha Mbowe hawezi kuwa Rais wa Watanzania.
 
Ikumbukwe kabla ya kwenda Iringa alikua kapumzika siku tano mfululizo, kukatishwa kwa kampeni na mgombea huyu kwa sababu za kubana matumizi kumelazimisha tume mstopishe kampeni za Lissu ili naye akae nyumbani Kama mgombea wa ccm
Kumbe CCM siyo wezi nao hawana hela.
 
Yani imefikia hatua ACT Wazalendo ina mabango mengi kuzidi CHADEMA!

Mbowe siyo mtu mzuri kabisa, ruzuku yote sikui kaipeleka wapi?
Unawekeza sehemu ambayo unajua utashindwa? Mbowe ni mwizi
 
Back
Top Bottom