Kwa kadri ya uelewa wangu ndio! na hapo ni uwanja wa FFU!Hujui usemalo!
Ndio maana tukiona mnavyobwata humu mkitoa mikwara mbuzi kwa tume kwamba mtashinda huwa tuna wacheka tu.
Unalijua vizuri jimbo la ukonga wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kadri ya uelewa wangu ndio! na hapo ni uwanja wa FFU!Hujui usemalo!
Ndio maana tukiona mnavyobwata humu mkitoa mikwara mbuzi kwa tume kwamba mtashinda huwa tuna wacheka tu.
Unalijua vizuri jimbo la ukonga wewe?
Viwege kwa Mpemba kuna FFU?Kwa kadri ya uelewa wangu ndio! na hapo ni uwanja wa FFU!
duuh huko sipajui!na kwenyewe ni ukonga? sio chanika kweli?Viwege kwa Mpemba kuna FFU?
Waambie... CHADEMA inaendeshwa kwa kujitolea sio kwa pesa kama fisiemu.CCM wao wanapata wapi pesa nyingi kiasi hicho? Mimi naamini SIASA ni sawa na IMANI kuna watakaokuwa tayari kufanya hiyo kazi kwa gharama zao
Sasa chanika nayo si ipo ukonga?duuh huko sipajui!na kwenyewe ni ukonga? sio chanika kweli?
Sasa chanika nayo si ipo ukonga?
Kumbe mnasema Lisu atashinda huku mmjifungia ndani?
Zungukeni muone hali halisi ya walipo wapiga kura! Achaneni na page za mitandaoni za kina Fatuma, kigogo na sarungi
Umenichanganya zaidi, unaongelea mipaka kwa muktadha wa serikali kuu au ki-uchaguzi mkubwa! manake najua kuna majimbo mawili hukoSasa chanika nayo si ipo ukonga?
Kumbe mnasema Lisu atashinda huku mmjifungia ndani?
Zungukeni muone hali halisi ya walipo wapiga kura! Achaneni na page za mitandaoni za kina Fatuma, kigogo na sarungi
Lipi na lipi unayoyajua wewe?Umenichanganya zaidi, unaongelea mipaka kwa muktadha wa serikali kuu au ki-uchaguzi mkubwa! manake najua kuna majimbo mawili huko
Kwa ushauri huu mwenye akili atakuelewa.
22 days to go 😍🇹🇿🙏
Tundu amshukuru Mwenyekiti wake sana maana amemsaidia kupunguza mihemko!Kaanza kuelewa na ndio maana tunaendelea kumshauri. Kitendo cha kututulia na kuelewa adhabu ya Tume ni cha kiungwa. Nampongeza Lissu kwa huo uungwana kidogo na kujua ile adhabu ilikuwa from his madness approach ya kampeni zake. Kukiri kukosea ni ujasiri si udhaifu, Lissu amka yako maisha baada ya uchaguzi.
Ikumbukwe kabla ya kwenda Iringa alikua kapumzika siku tano mfululizo, kukatishwa kwa kampeni na mgombea huyu kwa sababu za kubana matumizi kumelazimisha tume mstopishe kampeni za Lissu ili naye akae nyumbani Kama mgombea wa ccm
Money doesn't necessarily answer all things..
Ndo maana nimesema not necessarily. Hii ina maana kwamba Kuna mahali pesa inaswii Kuna mahala haiswii pamoja na kuwepo mahitaji uliyoyataja.Subiri 28 ndio utaelewa pesa ndio kila kitu.ndio maana unafanya kazi ili upate amani,upendo,furaha,ujitibu uuguapo,ule vizuri na ufanye uvipendavyo sio kufanya ilimladi siku iende
Wewe umejifungia hapo sebuleni kwa shemeji yako huwezi kuyajua haya!
Tukiwaambia huku field mna hali mbaya nyie mnabisha mmekomaa na Amsterdam, bure kabisa