Kwa ulichomfanyia mdogo wangu, tutakutafuta tu ewe mwanamke

Wanawake wa namna hii, huwa hawafiki mbali, nakuhakikishia iko siku atarudi, usiache kuleta mrejesho.
 
Uyo dem mchawi, shukuruni hajawatia sumu tu.
Na inaonekana hana shule kabisa hata chembe maana ni mshamba asie na hofu ya Mungu.
 
safi sana
 
Ungenitafuta mimi ningelikupa dawa ya kumwagia kinyesi chake angewaka moto tundu lake alilofanyia haja kubwa mpaka angelikuja kukuombeni msamaha amemtia nuksi mdogo wenu kitendo alichofanya ni zaidi ya uchawi poleni sana .
 
Mkuu we na mdogo wako mna roho ngumu kinoma.Mimi sishiki nya ya mtu mzima Bora ningechoma tu Hilo ghto
 
NB:WANAWAKEE NI WATOTO WAKUBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…