Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
- #21
Kama amebeba kila kilicho chake mnamtaka nini sasa. Angebeba kila kilicho cha mwanaume je?
Kwa nini atuachie mavi?
Ukatili kwa wanawake hauwezi kuisha kwa hali hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama amebeba kila kilicho chake mnamtaka nini sasa. Angebeba kila kilicho cha mwanaume je?
Alikuwa na chakula kiasi huko tumboni wakati alikuwa kwenye stress..au alialika wenzake kunya na kukojoq
Ewe mwanamke Agnes kwa nini umeyafanya haya? Yani nimekukaribisha na kuwasululisha vizuri maugomvi yetu alafu nilipoondoka ukafanya haya? Uliomba msamaha wa nini sasa kama bado ulikuwa na kinyongo?
Ni hivi huyu mwanamke ni mpenzi wa mdogo wangu kwa muda wa mwaka mmoja lakini waligombana na kuachana kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu walikuwa na ugomvi, sasa juzi nikaitwa kwenda kuwasikiliza na kila mmoja akafunguka kivyake na mwisho wa siku ikaamuliwa yameisha na kila mmoja asahau yaliyopita, mwanamke akaandaa ugali tukala na mimi nikaendelea na shughuli zangu.
Cha ajabu leo nimepigiwa simu niende nimekuta mwanamke amebeba kilicho chake na kutoroka kusiko julikana na simu zake hazipatikani huku ameacha amejisaidia haja kubwa ya kutosha kwenye mabegi ya nguo za mdogo wangu, amekojolea kwenye unga, sukari, na amepaka mavi kitanda kizima!
Yaani mlango wote umepakwa kinyesi ukiingia tu unakanyaga kinyesi, diaba la maji kinaelea kinyesi! Yaani amekishusha hasa sijui alikula nini tu!
Wana jamiiforums tunaomba mawazo yenu tukimkamata huyu tumfanye nini?
Hapa tupo tunafua nguo, inasikitisha sana kwa umri na busara zangu nilizonazo kufua kinyesi cha mwanamke fulani tu ambaye nilimuheshimu kama shemeji!
Madhara ya mdogo wako kuzibua mtaro kila mara
Nyie bwana! Hizo nguo na vitu si mngevitupa tu?
Mnafua muendelee kuzivaa na kutumia vitu vilivyoharibiwa kwa kinyesi?
Eh!
Chai
Mdogo wako is not Man enough, kama umeamua kumsaidia ungemtunza huyo Mwanamke mwenyewe.
Washenzi wapo sehemu zote kaka.Mdogo wangu ni mshika dini sana
Nakazia. Na mjani kwa mbali
Wana jamiiforums tunaomba mawazo yenu tukimkamata huyu tumfanye nini?