THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
aaaa...wewe..unafanyanini....nini..hukuuu........ MAPS noma sana.Kwenda kula wali kwa Tosa, also kukutana na MAPS maeneo ya mahenge hujavaa uniform halafu yeye anaangalia juu hata hakukumbuki kama ni mwanafunzi. ohh nilisahau namkumbuka sana marehemu Kusirawe (RIP)
aaaa...wewe..unafanyanini....nini..hukuuu........ MAPS noma sana.
R.I.P Maps
R.I.P Maps
Nakumbuka wakati wa uchaguzi Nchimbi alivyokuwa hapendwi. Na box 2 ni ngome ya CHADEMA
hahhaaha umenikumbusha mbali sana mzee ila kipind si tumenda tulimkuta bint bulu amechoka balaa siunajua tena wasobosea walivyo nouumaa wanatafuna hadi mfupa
Liti tena jamani. MAPS alikua rafiki yangu sana.
aisee do you mean MAPS is no longer?
mkuu ni kitambo sana sasa hivi ni kama mwaka wa pili hivi
aisee do you mean MAPS is no longer?
WAle madogo waokota peni nilikua nawatimua class unakuta mko bize chenyew kinakuja shkamoo naomba peni ,unakipa mbovu kumbe viko viiingi njesijasoma box 2 ila mid 80's nikiwa na washkaji zangu tukiwa bd primary tulikuwa tunapitia sana darasa flani hivi kuokota peni, yaani tunazikuta za kumwaga. Nakumbuka kuna siku boys walipiga mechi na ma bruda wa Peramiho pald TTC matogoro, wald ma bruda walikuwa na vifaa vimekamilika, six meno baba walikuwa wanaupiga balaa, walishinda kile kipute wale ma bruda.