Kwa uliesoma songea boys a.k.a box 2 (two): Nikitu kipi unakikumbuka?

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
765
Reaction score
194
Mimi nimesoma songea boys form V-VI kuanzia July 2000- May 2002. Kati ya vitu navyo vikumbuka pale ni kujirusha na TAMSALA (Songea girls), kula mayao, kula machuja na dona, kwenda kula wali " ulokoni" kwa Binti BULU. Je wewe mwenzangu unakumbuka nini?
 
Kwenda kula wali kwa Tosa, also kukutana na MAPS maeneo ya mahenge hujavaa uniform halafu yeye anaangalia juu hata hakukumbuki kama ni mwanafunzi. ohh nilisahau namkumbuka sana marehemu Kusirawe (RIP)
 
sijasoma box 2 ila mid 80's nikiwa na washkaji zangu tukiwa bd primary tulikuwa tunapitia sana darasa flani hivi kuokota peni, yaani tunazikuta za kumwaga. Nakumbuka kuna siku boys walipiga mechi na ma bruda wa Peramiho pald TTC matogoro, wald ma bruda walikuwa na vifaa vimekamilika, six meno baba walikuwa wanaupiga balaa, walishinda kile kipute wale ma bruda.
 
aaaa...wewe..unafanyanini....nini..hukuuu........ MAPS noma sana.
 
Nakumbuka wakati wa uchaguzi Nchimbi alivyokuwa hapendwi. Na box 2 ni ngome ya CHADEMA
 
hahhaaha umenikumbusha mbali sana mzee ila kipind si tumenda tulimkuta bint bulu amechoka balaa siunajua tena wasobosea walivyo nouumaa wanatafuna hadi mfupa
 
eeeh bana mbogolo alitisha sana kwa tiket ya chadema mzee aliwapa shida maccm balaaa
 
ila nikikumbuka adhabu ya tofali mzee hapo ndo napoichoka box 2.je unmkumbuka mazipuuuuu techncian wa chemistry
 
hahhaaha umenikumbusha mbali sana mzee ila kipind si tumenda tulimkuta bint bulu amechoka balaa siunajua tena wasobosea walivyo nouumaa wanatafuna hadi mfupa

Huyo mdada Binti Bulu hili tangazo la tukowangapi linahusika sana. Na sidhani kama anaweza akakumbuka idadi ya wasobosea waliokula mzigo wake.Ilikuwa balaa.
 
sijasoma box 2 ila mid 80's nikiwa na washkaji zangu tukiwa bd primary tulikuwa tunapitia sana darasa flani hivi kuokota peni, yaani tunazikuta za kumwaga. Nakumbuka kuna siku boys walipiga mechi na ma bruda wa Peramiho pald TTC matogoro, wald ma bruda walikuwa na vifaa vimekamilika, six meno baba walikuwa wanaupiga balaa, walishinda kile kipute wale ma bruda.
WAle madogo waokota peni nilikua nawatimua class unakuta mko bize chenyew kinakuja shkamoo naomba peni ,unakipa mbovu kumbe viko viiingi nje
 
Back
Top Bottom