THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Mimi nimesoma songea boys form V-VI kuanzia July 2000- May 2002. Kati ya vitu navyo vikumbuka pale ni kujirusha na TAMSALA (Songea girls), kula mayao, kula machuja na dona, kwenda kula wali " ulokoni" kwa Binti BULU. Je wewe mwenzangu unakumbuka nini?