Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
11,622
Reaction score
26,005
Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...

Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi ya Kivita hivi..

Jambo kama hili aliwahi kulifanya aliyekuwa mkuu wa mkoa Wa Dar es salaam..
naona sasa imekuwa kama maigizo hivi... Hebu muone hapa chini...
Your browser is not able to display this video.



Picha Ya mkuu wa Mkoa enzi hizo



Na hii nyingine..
 
Kodi zetu zinatumika kindezi sana.
 
Sasa ushamba upi ?!!!

Kwani ni N/W mkuu ndiye aliyesema apewe idadi hiyo ya walinzi?!???

Mbona hao si wengi.....hawazidi 8....

Kulalamika sana si maungwana [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ulinzi wote huo ni matumizi mabaya ya Fedha zetu
 
Jiulize Cheo Cha Naibu waziri mkuu Kiko vp kiulinzi protokali,

Kama Unadhani ni Rahisi kujimilikisha ulinzi,

Nenda waite mgambo tu uwaambie umewamiliki wakufuate!!

Anyway, tuandike KATIBA mpya tupate solution.
 
Dokta mzima unaongopa ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji3]

Yaani Rais wa US awe na hao walinzi 8?!!!!

Unachekesha walionuna?!!![emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama una picha yoyote Rais wa Marekani akiwa kwenye simple occasion ndani ya nchi yake akiwa na ulinzi kma huo naiomba
 
Jiulize Cheo Cha Naibu waziri mkuu Kiko vp kiulinzi protokali,

Kama Unadhani ni Rahisi kujimilikisha ulinzi,

Nenda waite ngambo tu uwaambie umewamiliki wakufuate!!

Anyway, tuandike KATIBA mpya tupate solution.
Waziri mkuu mwenyewe Hana huo ulinzi ana usalama na jeahi hawZidi watano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…