Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Ni Kweli naweza kubaliana nawe ni kama ulinzi umezidi,

Lakini kusema amejimilikisha Si sawa,
AtaUnaanzaje bila ruksa Toka juu,
Nahisi wanafanya kusudi Ili MP aonekane hafai, Si unajua tena uswahili!!
Kwani kipindi kile RC wa Dar alipokuwa na jeshi maalumu special force na pia alipokuwa na ulinzi mkubwa alikuwa kapata ruksa kutoka juu
 
Mbona harmonize ana walinzi 20 hamsemi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimeshangaa gari ya escort ni Prado...?!!πŸ€”πŸ˜ŽπŸ˜Ž
Hahaha 🀣🀣 sasa ndo ushangae kama akivamiwa mpaka watu watoke kwenye prado 🀣🀣 wenzetu wanatumia defender...Anyway tuendee kula mtori nyama zipp kwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…