Kwa Ulinzi wa Dotto Biteko, Serikali itunge sheria kudhibiti matumizi mabaya ya Ofisi

Pata madaraka tuone rangi zako halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapangiwa kajipangia?
Kama yeye ndo waziri mkuu niyo msimamizi wa shughuli za serikali ....Ngoja nikupe mfano wa mWalimu hivi mkuu wa shule/mwalimu mkuu kwwnye vipindi vya kufundisha huwa anapanga au anapangiwa...
 
Wivu tuu.Aisee.

Kwahy ulitaka umlinde wewe?
 
Msaidizi wa WAZIRI MKUU huyo...

Anastahili ulinzi wa hivyo....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Aisee. Hivi ni elimu, exposure au ujinga? Nchi yetu bado kuna raia wengi akilizao zinawatosha kuvuka barabara tu ndiyo maana viongozi wanalewa madaraka na kufanya mambo kama haya. Jaribu kusoma na kutembea duniani upanue mawazo yako kwani unasikitisha sana.
 
Nimesoma ila sijaizunguka dunia kama ulivyoizunguka wewe [emoji106]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…