Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivurugeKujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Ila Magufuli ana wakati mgumu sana. Majivuno yote kwishney.Ni kweli hakuna wa kumzuia, atajizuia yeye mwenyewe, hana cognitive abilities, ...
Jane kwqeli huoni kuwa Magufuli ameangukia pua kama siyo kuiba kura?Kujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Anajifanya haoni.Haijafikia nyomi LA Arusha uwanja umetapika
Tandahimba CCM inapendwa sana.Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
CHADEMA IMEBAKIA HUKO HUKO, SISI HUKU KILIMANJARO NA ARUSHA, TUMEAMUA KUITOKOMEZA. ARUSHA LEO YULE NABII TITO MTABIRI SASA ZAMU YAKE AKAFUNGUE KANISA LAKE. HAPA NI GAMBO TUUU.Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
We jamaa ni mpuuzi sana. Kwa hiyo anakotembea Lisu hawajajiandikisha ila anakotembea Magu wenu ndio wamejiandikisha.Lindi wengi hawajajiandikisha!
Ila Magufuli ana wakati mgumu sana. Majivuno yote kwishney.
Sasa anaropokaropoka tu. Mara "nitaboresha mishahara ya watumishi wa umma", mara " nitawapatia watanzania wote bima ya afya"
Yaani masuala yote aliyokuwa anayakataa, sasa anayakubali. Wananchi wameshamshtukia kwamba anawaongopea tu na ndiyo maana kura zao zote watazimimina kwa Tundu Lissu.
Anawarubuni watanzania tu. Hawawezi kumchagua awamu hii.Safi sana, ndio demokrasia hiyo, angalau nchi yetu Demokrasia imekuwa tena sana tu kama Raisi wa nchi anafikia kuwanyenyekea wananchi hivyo, basi tuko mbali sana kidemokrasia, ...
Anawarubuni watanzania tu. Hawawezi kumchagua awamu hii.
Si ndo maana unamelemeta kwa afya kwa kujidanganya kuwa Chama cha Mapinduzi kitatawala milele Mwenyekiti wenu akimaliza kampeni bila push-up jukwaani. Kupiga magoti jukwaani kuomba kura siyo dalili nzuri!Kujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
People are ripe for change. No one can stop them.Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Ina maana kila siku Lissu anakusanya umati! Basi kweli mwambieni aandae suti ya kuapishwa nayo. Lakini kumbuka ule umati wa Lowasa, au ule wa Slaa wiki za mwanzo pale Mwanza kabla CHADEMA haijamkaribisha Lowasa.Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Achana na wajinga utapoteza muda wako bureUngepiga picha na kuitupia hapa..
Ama ikawaje watu wakakusanyika kumsubiri Tundu Lissu huku ikijulikana hana ratiba ya kufanya mkutano eneo hilo?
Viongozi wa eneo hilo hawana mawasiliano na mratibu wa kampeni za mgombea Urais kwani?