Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jenga hoja kijanaUpuuzi tu.
Tandahimba hakuna CCM ndugu, kama wapo basi wachache sana.Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Imeandikwa," mshahara wa dhambi ni mauti".Moshi walifanyiwa uhuni walibebwa alafu hawakurudishwa walisaga meno.
Kwa kusombwa na mafuso lakini pamoja na kupeleka wanafunzi!Nipo hapa Arusha Sheikh Amri Abeid imejaa kwa kweli...!
Hata sisimizi anapokutana na mende hujinasibu kuwa hakuna mdudu mkubwa kuliko mende!!!! Wewe subiri baada ya Oktoba 28 uisome namba.Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
kwa Arusha wananfunzi na walimu walipewa likizo kwa muda mfupiHaijafikia nyomi LA Arusha uwanja umetapika
Hembu tuweke utahira,usukule na ukilaza wa mbogamboga pembeni,twende na takwimu.Lindi wengi hawajajiandikisha!
Mkuu,yaani unashangaa jinsi binadamu anayeweza kushika simu/pc/mac na kuandika halafu kuwa na utahira wa kiwango hiki. Ama kweli kuwa msukule lazima akili zote zitolewe.We jamaa ni mpuuzi sana. Kwa hiyo anakotembea Lisu hawajajiandikisha ila anakotembea Magu wenu ndio wamejiandikisha.
Nzishe
CCM itatawala mileleMsisahau siasa ni sayansi na sayansi ni namba. Yaani hesabu kama hizo hapo😍🇹🇿👍
Ushindi unahitaji maandalizi hakikini kadi zenu muda wa majeruhi huu😁😁😁View attachment 1609466
Nipo hapa Arusha Sheikh Amri Abeid imejaa kwa kweli...!
nafikiri watu wa Moshi na Arusha huwajui vzr! ngoja mtaona matokeo ndio utajua kuwa 'kucheka sio kufurahi'CHADEMA IMEBAKIA HUKO HUKO, SISI HUKU KILIMANJARO NA ARUSHA, TUMEAMUA KUITOKOMEZA. ARUSHA LEO YULE NABII TITO MTABIRI SASA ZAMU YAKE AKAFUNGUE KANISA LAKE. HAPA NI GAMBO TUUU.
Ngoja tumalize kazi ya kudhibiti VITUO HEWA vya kupigia kura, utafunga tu hilo domo lako mwenyewe. CCM must goTanzania haiuzwi, Dalali hapati mchongo hapa.
HATA MIMI NI MTU WA MOSHI TENA NAISHI HAPA MAJENGO. ILA TUMEIFUKUZA CHADEMA HAPA KASKAZINI NA KUWAPA WATU WA IKWIRIRI HUKO.nafikiri watu wa Moshi na Arusha huwajui vzr! ngoja mtaona matokeo ndio utajua kuwa 'kucheka sio kufurahi'
Magufuli anahutubia GHOST VOTERS huko, anapoteza muda wake tu.CHADEMA IMEBAKIA HUKO HUKO, SISI HUKU KILIMANJARO NA ARUSHA, TUMEAMUA KUITOKOMEZA. ARUSHA LEO YULE NABII TITO MTABIRI SASA ZAMU YAKE AKAFUNGUE KANISA LAKE. HAPA NI GAMBO TUUU.