Uchaguzi 2020 Kwa umati uliofurika leo Viwanja vya Matogoro Mjini Tandahimba, ni wazi hakuna wa kumzuia Tundu Lissu kuwa Rais

Msisahau siasa ni sayansi na sayansi ni namba. Yaani hesabu kama hizo hapo😍🇹🇿👍
Ushindi unahitaji maandalizi hakikini kadi zenu muda wa majeruhi huu😁😁😁
 
Ni kweli hakuna wa kumzuia, atajizuia yeye mwenyewe, hana cognitive abilities, ...
Ila Magufuli ana wakati mgumu sana. Majivuno yote kwishney.

Sasa anaropokaropoka tu. Mara "nitaboresha mishahara ya watumishi wa umma", mara " nitawapatia watanzania wote bima ya afya"

Yaani masuala yote aliyokuwa anayakataa, sasa anayakubali. Wananchi wameshamshtukia kwamba anawaongopea tu na ndiyo maana kura zao zote watazimimina kwa Tundu Lissu.
 
Tandahimba CCM inapendwa sana.
 
CHADEMA IMEBAKIA HUKO HUKO, SISI HUKU KILIMANJARO NA ARUSHA, TUMEAMUA KUITOKOMEZA. ARUSHA LEO YULE NABII TITO MTABIRI SASA ZAMU YAKE AKAFUNGUE KANISA LAKE. HAPA NI GAMBO TUUU.
 

Safi sana, ndio demokrasia hiyo, angalau nchi yetu Demokrasia imekuwa tena sana tu kama Raisi wa nchi anafikia kuwanyenyekea wananchi hivyo, basi tuko mbali sana kidemokrasia, ...
 
Kujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Si ndo maana unamelemeta kwa afya kwa kujidanganya kuwa Chama cha Mapinduzi kitatawala milele Mwenyekiti wenu akimaliza kampeni bila push-up jukwaani. Kupiga magoti jukwaani kuomba kura siyo dalili nzuri!
 
People are ripe for change. No one can stop them.
 
Ina maana kila siku Lissu anakusanya umati! Basi kweli mwambieni aandae suti ya kuapishwa nayo. Lakini kumbuka ule umati wa Lowasa, au ule wa Slaa wiki za mwanzo pale Mwanza kabla CHADEMA haijamkaribisha Lowasa.
 
Ungepiga picha na kuitupia hapa..

Ama ikawaje watu wakakusanyika kumsubiri Tundu Lissu huku ikijulikana hana ratiba ya kufanya mkutano eneo hilo?

Viongozi wa eneo hilo hawana mawasiliano na mratibu wa kampeni za mgombea Urais kwani?
Achana na wajinga utapoteza muda wako bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…