Statistical juggling!Msisahau siasa ni sayansi na sayansi ni namba. Yaani hesabu kama hizo hapo[emoji7][emoji1241][emoji106]
Ushindi unahitaji maandalizi hakikini kadi zenu muda wa majeruhi huu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1609466
Cha kushukuru Mungu ni kuwa hata jeshi la wananchi sasa wameanza kuunga mkono wananchi!Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
PropagandaMsisahau siasa ni sayansi na sayansi ni namba. Yaani hesabu kama hizo hapo[emoji7][emoji1241][emoji106]
Ushindi unahitaji maandalizi hakikini kadi zenu muda wa majeruhi huu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1609466
Siasa ni sayansi kama huamini muulize zito na maalimu sefu muda huuππππPropaganda
nyomi la wale watoto wa shule na wadada wa A to ZHaijafikia nyomi LA Arusha uwanja umetapika
Nakukata ukweli ni tatizo linaloweza waletea wana ccm wengi msongo wa mawazoKujidanganya ni jambo zuri kiafya. Husaidia kuongeza chembechembe hai nyeupe za damu mwilini.
Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.
Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.
Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.
Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.
Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.
Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Utajua 28/10 nunua pilton za kutosha maana hutaamini kwamba Lissu bado sana kwa siasa za TZTundu Lissu hazuiliki na kibaka fisadi kutoka chato
Washenzi sana hawa masheikh wa BAKWATAMashekhe Ubwabwa wa CCM waungana na kuanza kuwatisha Wananchi