MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Nacheka kama mazuri[emoji28][emoji28]Nyie ndio mnafanyaga mkishajulikana nje na JF wakakuta hohehae mwenzetu tunarudishiwa story huku [emoji23]
Wambea tunabaki kusema hihiiiii kila tukiona comments zako
Sawa tunaomba mchongo basi na sisi tumiliki kabla hatujafika 30'sAu nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.
Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money [emoji383] kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die
Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni
Magreater hawanaga shobo kama wewe na usipoangalia utaishia na uchawi wako hhuoMbona thread zako zimekaa kike sana,,,shusha uzi kama great thinker siyo kuleta mambo ya vijiweni hapa.
Umesema kweli tupu, huyu ni fala tu!Ukimuona mtu anatangaza utajiri wake huyo ni masikini. Matajiri huwa hawana hizo mambo
Kenge wewe!Unaandika kama mfuasi wa upinde, au goli lipo wazi tuzamishe mpira?
Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.
Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money [emoji383] kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die
Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni
Huo utajiri wako wa akili mbona bado unabakwa?Bado utajiri wa akili ndio huna. Jitahidi uwe tajiri wa akili pia mkuu.
Toka zako nyie ndio wa bia moja geto mnafungua kila njiaMama yako yeye ni kuku?