Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

Nyie ndio mnafanyaga mkishajulikana nje na JF wakakuta hohehae mwenzetu tunarudishiwa story huku [emoji23]

Wambea tunabaki kusema hihiiiii kila tukiona comments zako
Nacheka kama mazuri[emoji28][emoji28]
 
Aisee siwezi kusema nitalogwa mie namiliki umbeya wangu mwenye na jeuri yangu na kiburi Cha kujenga taifa .

Na mdomo
 
Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.

Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money [emoji383] kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die

Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni
Sawa tunaomba mchongo basi na sisi tumiliki kabla hatujafika 30's
 
Mbona thread zako zimekaa kike sana,,,shusha uzi kama great thinker siyo kuleta mambo ya vijiweni hapa.
 
Bado utajiri wa akili ndio huna. Jitahidi uwe tajiri wa akili pia mkuu.
 
Utajiri mwingine unaweza kuupata ukiwa usingizini, unafilisika usingizi ukiisha.
 
Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji pambaneni na nyie mtakuja kuvipata japo wengine umri wenu umeenda kwa sasa mnahangaika na mafuta ya upako tu.

Kwa huu umri wangu Nina akiba milioni of money [emoji383] kama wewe nj team majungu na chuki acheni majungu fanyeni kazi mtapata majungu si mtaji nyie endeleeni na Bata na hizo pisi kali zenu hayo si mafanikio yenu? Sisi wengine wacha tuendelee kufanya saving till we die

Team majungu,chuki,fitina na wivu karibuni

we mtoto hiz kelele zote hizo gari unazo miliki ni aina gani ya gari na hivyo viwanja vipo mkoa gani na eneo gani maana unaweza kuwa unatupigia kelele ukijumlisha huto tuvitu twoooote milion 150 haifiki acha kelele wenye hela hawana kelele siku ukifika bilion moja cash si ndo utatukana mpaka wazaz wako
 
Umerithi au umezitengeneza mwenyewe huu utajiri?
Na je ni fedha halali kweli au zina makandokando?
 
Back
Top Bottom