Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Binamu mi bado nashangaa tu sauti na pozi la mose iyobo, aunty nae ujanja wake wote huu anaenda kubeba wanaume sampuli hii mmmh , hayo mapozi hata mm warumi sina
Mi binafsi ndo namsikia leo... yani alivyo na hiyo sauti ni mbingu na ardhi.... doh
 
Sasa kama ana mapungufu yaliyo nje ya uwezo wake ni vipi mnamkejeli?

Wanafiki nyie mtajifanya kumuhurumia mwenye kasoro ya mguu, mkono au macho lakini huku upande mwingine mnamkejeli Mtu ambaye naye aliyepungukiwa....na mnajua fika hakujiumba yeye.

Watu laanakum kweli nyie.
 
Kuna kupungukiwa na kujipunguza,huyu amejipunguza mwenyewe
 
Kuna kupungukiwa na kujipunguza,huyu amejipunguza mwenyewe
Hapana, huyo bwana anaonyesha kabisa ndivyo alivyozliwa.

Tukiri tu tuna Watu wasio tayari kuwakubali wenzao waliopungukiwa.
 
Lahaulaaaaah!!! huyu nsela atakua Nchele nchele huyu sio kwa sauti hiyo na hizo pozi nlijua booonge la mwamba kumbe nchele tu
 
mwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5

Hivi huyuu ndie yulee walisemaga amewabutua mitama wale watangazaji wa shilawadu hadi kuwavunja sijui miguu na mikono?...
 
mwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5
Kama Sauti Tu Unasema Hivyo Kina Michael Jackson waliokuwa na zaidi ya sauti hiyo kwa Zaidi ya miaka 50 sijui tuwaitaje
 
Back
Top Bottom