Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Na wavulana a dar tu wanaweza kukupangia mpaa namnaya kuongea
 
Hiki kkisauti anti bilal kaachwa mbali tu,,na wamefanana haswa
 
Mbona hamuongelei jinsi alivyojibu vizuri maswali kwenye hayo mahojiano ukiachilia sauti laini. Ndo mara ya kwanza namsikia akiongea.

Angalau nimekuta comment ya great thinker.. wengine naona wanawakilisha zile IQ zetu za kuunga unga!!...
 
Sijaona tatizo kwenye sauti wala chochote kile,,,huyu jamaa anawish kuja kuongea kistaa sana lakini anashindwa ni vipi awe na kastaili kake kakuongea kakizazi sana,,
 
Hapana, huyo bwana anaonyesha kabisa ndivyo alivyozliwa.

Tukiri tu tuna Watu wasio tayari kuwakubali wenzao waliopungukiwa.
Sijaona tatizo kwenye sauti wala chochote kile,,,huyu jamaa anawish kuja kuongea kistaa sana lakini anashindwa ni vipi awe na kastaili kake kakuongea kakizazi sana,,
Mnateteana naona ili nayie watu wasiwashuku??
 
Mbona hamuongelei jinsi alivyojibu vizuri maswali kwenye hayo mahojiano ukiachilia sauti laini. Ndo mara ya kwanza namsikia akiongea.
Ulivoliongelea wew inatosha sana sie tunabaki na hoja je mwanaume kabsa anaweza kuwa na sauti na kuongea kwa mapozi vile
 
Back
Top Bottom