Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

Kwa uongeaji huu wa Moses Iyobo unaleta umashaka kwa mtoto wa kiume

mimi nilidhani utauliza mimi ndo moses Iyobo unauliza wema???? wema ndo nani kwenye hili swali mbona sioni uhusiano. Sauti ni sauti haibadilishi uanaume wako au uuke wako
Wema anawafuga hao ili awadalalie ndio maana nimeuliza kama ww ni wema spetu
 
Hizi tabia za kuhukumu kabla ya kuujua ukweli hazijakaa poa. Ingependeza unampa mzigo akishindwa ndo unakuja kuanzisha uzi.
 
Hiyo ni sauti yake ya kuzaliwa tu mkuu, hakuna mtu anayechagua awe na sauti gani wakati anabalehe. Vitu vingine vipo nje ya uwezo wa kibinadamu kuchagua. Msipende kuwajadili watu kutokana na madhaifu ya kimaumbile, tuwajadili watu kutokana na tabia zao chafu lakini siyo maumbile yao.
 
Na wewe mtoa post ujue hakunaga mwanaume wa nguvu, kuna Malkia wa nguvu tu.
 
Kwanza ile mwanaume kukata mauno jukwaani wakati wenzio wanaimba ipo nalo ni utatatupu,bora ukatemauno huku unaimba mwenyewe,ukijumlisha na hayo mapoz na hicho ki sauti ndo mama yangu..!!
 
Temeni mate chini wengi wenu hamjazaa na wengine watoto wenu bado wadogo na huko tuendako ndio dunia inazidi kuharibika
 
mbona wasanii wetu ndo walivyo angalia young d,aslay,domo,harmonize, etc
 
Back
Top Bottom