Adabu tunazo hatujazisahau lakini kucha ya sauti pose pia linaleta utata.Hebu kuweni wastaarabu kuna wanaume wangapi wana sauti ndogo?? Tayari mnaconclude
Pedeshee la mujiniNdio nani huyo?
Jumalile Pandugwu MaharagweNdio nani huyo?
Hahahhahahaha nimecheka kwa nguuvuJumalile Pandugwu Maharagwe
Mi binafsi ndo namsikia leo... yani alivyo na hiyo sauti ni mbingu na ardhi.... dohBinamu mi bado nashangaa tu sauti na pozi la mose iyobo, aunty nae ujanja wake wote huu anaenda kubeba wanaume sampuli hii mmmh , hayo mapozi hata mm warumi sina
Kuna kupungukiwa na kujipunguza,huyu amejipunguza mwenyeweSasa kama ana mapungufu yaliyo nje ya uwezo wake ni vipi mnamkejeli?
Wanafiki nyie mtajifanya kumuhurumia mwenye kasoro ya mguu, mkono au macho lakini huku upande mwingine mnamkejeli Mtu ambaye naye aliyepungukiwa....na mnajua fika hakujiumba yeye.
Watu laanakum kweli nyie.
Hapana, huyo bwana anaonyesha kabisa ndivyo alivyozliwa.Kuna kupungukiwa na kujipunguza,huyu amejipunguza mwenyewe
Hivi huyuu ndie yulee walisemaga amewabutua mitama wale watangazaji wa shilawadu hadi kuwavunja sijui miguu na mikono?...mwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5
Kama Sauti Tu Unasema Hivyo Kina Michael Jackson waliokuwa na zaidi ya sauti hiyo kwa Zaidi ya miaka 50 sijui tuwaitajemwanaume wa nguvu huwezi kuta anaongea hivi aisee hebu tanzama hiyo link mahojiano yake na bongo5
Duuuhhuyo analiwa na domo kwani hujui mkubwa
mmmmmhhuyu mbona inajulikana siku nyingi kwamba wenzake wanamruka ukuta